A
Anonymous
Guest
Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti.
Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado hatujapewa; wanatuzungusha tu.
Kinachoumiza ni kwamba kuna intake mpya iliajiriwa Sept 2025 wamelipwa hela za kujikimu lkn sisi wa intake ya June 2025 tuliokuwa tumebaki hatujalipwa.
Pia soma:
~ Changamoto ambazo watumishi wapya Wilaya ya Buhigwe tunakabiliana nazo kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi
~ Walimu tulioajiriwa chini ya Mradi wa GPE-TSP unaosimamiwa na TAMISEMI tuna hali mbaya kimaslahi, hatujalipwa