KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

bakari kissiga

New Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu.

Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo"

Hii ni kuonesha jinsi gani hawathamini watumishi wao kabisa. Naomba tusaidiwe kwa hili kwani changamoto ni nyingi hasa pale unapoanza maisha ugenini.
 
Back
Top Bottom