johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tena Sukuma Gang yule 😄😄Ndio. Mwana Lumumba mwenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Sukuma Gang yule 😄😄Ndio. Mwana Lumumba mwenzio.
Lakini nyuzi hizi hazianzishwi na hao wafuasi, hushangai kwa hilo?!Magufuli kama McKenzie Kwa kweli
Huwaambii kitu wafuasi wake...
Akitokea mtu akasema wafuasi wa Magufuli wasile chakula mwaka mzima ili afufuke ...mbona tutabaki mdomo wazi...
Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete.
Hakuna anayebisha kwamba Magufuli alipokuwa Rais wetu, kuna mambo aliyafanya kwa ufanisi na lakini pia isibishiwe kuwa kuna uhalifu pia alifanya. Magufuli alikuwa ni fundi wa kuzuga (Manipulate) akili za baadhi ya watu kiasi kwamba hao watu mpaka sasa wanaamini ni yeye tu aliyekuwa Rais bora kuliko wenziwe wote waliomtangulia.
Azimio la Arusha liliacha msala mkubwa!Wewe babu wa Masaki unaposema Nyerere "aliachiwa kila kitu" unamaanisha nini?
Nyerere Kapokea nchi ina wahandishi wawili wenye shahada wewe unasema kaachiwa kila kitu?
Wewe na shati lako la Kitenge mwaka 1978 umesahau kwamba ulikuwa unahamasisha watu waende vitani? Ile vita wakati inapiganwa ilitumia hela gani?
Umeshasahau Ukame wa mwaka 1974 na mwaka 1983 - 1984? Au kwa kuwa wewe ulikuwa hutumii duka la Kaya kupata mahitaji yako?
Umesahau kuporomoka kwa soko la Mkongo mwaka 1969 kulikosababisha mipango mingi ya serikali kuvurugika??
Mwalimu aliipokea nchi ina watu milioni 9 -10 na anamwachia Mwinyi nchi ikiwa na watu milioni 20. Huyo mwingereza wako si ndiyo aliikuwa inaizonga Tanzania kiuchumi kwa kuwa Tanzania inaisadia zimbabwe kupambania Uhuru wake??
Mackenzie wa TanzaniaMagufuli kama McKenzie Kwa kweli
Huwaambii kitu wafuasi wake...
Akitokea mtu akasema wafuasi wa Magufuli wasile chakula mwaka mzima ili afufuke ...mbona tutabaki mdomo wazi...
Unaandikwa na wale wanaokwenda kuwafuata na kuwafukua huko Kilifi walikozikwa!!Lakini nyuzi hizi hazianzishwi na hao wafuasi, hushangai kwa hilo?!
Azimio la Arusha lilikuja kuokoa hali ya mambo ilivyokuwa.Azimio la Arusha liliacha msala mkubwa!
Kupenda ama kutokupenda ni mambo ya hisia. Mimi najadili uhalisia. Jee ni kweli kwamba kwa miaka mitano tu Magufuli anaweza kuwa amefanya mambo makubwa sana kuliko wote waliomtangulia???....au hupendi hilo?...
Kila awamu ina 'dark side', wapo wanufaika na walioumizwa pia.Hakuna anayezungumzia kuhusu barabara mbovu zilizojengwa akiwa Waziri, hawazungumzii kuhusu Kile kivuko fake cha Kwenda Bagamoyo kwa masaa matatu, hatuzungumzii kuhusu kauli chafu na matusi kwa binadamu wenzake, hatuzungumzii kuhusu ku-impose fear kwa wananchi wake, hakuna anayezungunzia kuhusu kupotea watu na wengine kuokotwa kwenye viroba, hakun anayezungunzia kuhusu uporwaji wa fedha kwenye maduka ya kubadilishia pesa. Na mengine mengi......he was the worst President ever
Nimejaribu kuangalia hizo demographics, lakini, for some reasons nashindwa. Kama hautajali, naomba unisaidie idadi ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65 kwa mujibu wa sensa ya 2022.Nimeona tatizo ni kwamba kwa Mujibu wa takwimu za Sensa za mwaka 2022, wanzania walio chini ya miaka 35 ni sawa na 75%. Kwa maana nyingine wengi wa watu waliopo sasa ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1987 kuja 2022 wakati sensa inafanyika.
sawa. Naangalia kwanza Mpira!!Nimejaribu kuangalia hizo demographics, lakini, for some reasons nashindwa. Kama hautajali, naomba unisaidie idadi ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65 kwa mujibu wa sensa ya 2022.
Kuna kitu muhimu sana nakifatilia kinachohusiana na hii.
Nitashukuru sana ukinisaidia katika hilo.
No no no. You can, and we expect you to do better than this.Unaandikwa na wale wanaokwenda kuwafuata na kuwafukua huko Kilifi walikozikwa!!
😀😀😀😀😀
Mbona Mwinyi mwenyewe alitamka kwamba mwenzetu ametuzidi wote tuliomtangulia. Aliyoyafanya katika miaka mitano ni zaidi ya yote tuliyoyafanya sisi wengine. Unapingana na unayemtetea.Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete.
Hakuna anayebisha kwamba Magufuli alipokuwa Rais wetu, kuna mambo aliyafanya kwa ufanisi na lakini pia isibishiwe kuwa kuna uhalifu pia alifanya. Magufuli alikuwa ni fundi wa kuzuga (Manipulate) akili za baadhi ya watu kiasi kwamba hao watu mpaka sasa wanaamini ni yeye tu aliyekuwa Rais bora kuliko wenziwe wote waliomtangulia.
Nimeona tatizo ni kwamba kwa Mujibu wa takwimu za Sensa za mwaka 2022, wanzania walio chini ya miaka 35 ni sawa na 75%. Kwa maana nyingine wengi wa watu waliopo sasa ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1987 kuja 2022 wakati sensa inafanyika.
Kwa tafsiri ya Takwimu hizo (HIvi ile sheria ya takwimu ya zama za Magufuli bado iko?) ni kwamba wakati Kikwete anatoka mdarakani mwaka 2015 wengi wa walizaliwa walikuwa wana miaka 28 kushuka chini. Au kwa maana nyingine wao ndiyo walikuwa wapiga kura wa mara ya kwanza mwaka 2005 wakati kikwete anagombea Urais.
Kundi hili kubwa la watanzania (75%) halijawahi kushuhudia Wakati Nyerere, Mwinyi, ama Mkapa wakiwa madarakani. Hawa ndiyo kina johnthebaptist huwafanya mateka kwa kuwaambia kwamba watangulizi wa Magufuli hakuna walichowafanyia watanzania zaidi ya kufilisi nchi.
Kwa kuwa historia imekusudiwa kupotoshwa na kina Countrywide Stroke na wenzao, nchi inakuwa imekwama kwenye kubishana kama Magufuli alikuwa bora kulliko wenziwe na hatatokea tena mwingine kama yeye ama alikuwa sawa tu na wenziwe.
Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi yetu, kunasababisha wapiga porojo wa Lumumba ambao walikuwa waimba pambio enzi za Magufuli ambao sasa wamejigeuza kuwa chawa wa Samia Suluhu Hassan, kusema uongo bila ya hofu ya kuumbuliwa.
Umesema vizuri mkuu , mwendazake kwa sasa asingekua na tofauti na yule mchungaji wa Kenya alieaminisha watu kutokula mpaka wafe ili onana na mwana wa Mungu ,au Mungu mwenyewe face by face wakati mda akiwa lockup analalamika kwamba apewi chakula ,Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete.
Hakuna anayebisha kwamba Magufuli alipokuwa Rais wetu, kuna mambo aliyafanya kwa ufanisi na lakini pia isibishiwe kuwa kuna uhalifu pia alifanya. Magufuli alikuwa ni fundi wa kuzuga (Manipulate) akili za baadhi ya watu kiasi kwamba hao watu mpaka sasa wanaamini ni yeye tu aliyekuwa Rais bora kuliko wenziwe wote waliomtangulia.
Nimeona tatizo ni kwamba kwa Mujibu wa takwimu za Sensa za mwaka 2022, wanzania walio chini ya miaka 35 ni sawa na 75%. Kwa maana nyingine wengi wa watu waliopo sasa ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1987 kuja 2022 wakati sensa inafanyika.
Kwa tafsiri ya Takwimu hizo (HIvi ile sheria ya takwimu ya zama za Magufuli bado iko?) ni kwamba wakati Kikwete anatoka mdarakani mwaka 2015 wengi wa walizaliwa walikuwa wana miaka 28 kushuka chini. Au kwa maana nyingine wao ndiyo walikuwa wapiga kura wa mara ya kwanza mwaka 2005 wakati kikwete anagombea Urais.
Kundi hili kubwa la watanzania (75%) halijawahi kushuhudia Wakati Nyerere, Mwinyi, ama Mkapa wakiwa madarakani. Hawa ndiyo kina johnthebaptist huwafanya mateka kwa kuwaambia kwamba watangulizi wa Magufuli hakuna walichowafanyia watanzania zaidi ya kufilisi nchi.
Kwa kuwa historia imekusudiwa kupotoshwa na kina Countrywide Stroke na wenzao, nchi inakuwa imekwama kwenye kubishana kama Magufuli alikuwa bora kulliko wenziwe na hatatokea tena mwingine kama yeye ama alikuwa sawa tu na wenziwe.
Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi yetu, kunasababisha wapiga porojo wa Lumumba ambao walikuwa waimba pambio enzi za Magufuli ambao sasa wamejigeuza kuwa chawa wa Samia Suluhu Hassan, kusema uongo bila ya hofu ya kuumbuliwa.
Kwa sasa, kwa baadae hatuwezi kujua! ShukraniKila awamu ina 'dark side', wapo wanufaika na walioumizwa pia.
Hapo ulipohitimisha kwa neno 'ever' sio sawa, kumbuka kuna awamu nyingine nyingi tu zitakuja huko mbeleni na huwezi kujua zitakuaje.
Kuaminika na Binadamu mwenzako siyo jambo dogoMackenzie wa Tanzania
Tusubiri johnthebaptist Stroke Lucas mwashambwa walete mrejesho wa haya usemayoAlipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete.
Hakuna anayebisha kwamba Magufuli alipokuwa Rais wetu, kuna mambo aliyafanya kwa ufanisi na lakini pia isibishiwe kuwa kuna uhalifu pia alifanya. Magufuli alikuwa ni fundi wa kuzuga (Manipulate) akili za baadhi ya watu kiasi kwamba hao watu mpaka sasa wanaamini ni yeye tu aliyekuwa Rais bora kuliko wenziwe wote waliomtangulia.
Nimeona tatizo ni kwamba kwa Mujibu wa takwimu za Sensa za mwaka 2022, wanzania walio chini ya miaka 35 ni sawa na 75%. Kwa maana nyingine wengi wa watu waliopo sasa ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1987 kuja 2022 wakati sensa inafanyika.
Kwa tafsiri ya Takwimu hizo (HIvi ile sheria ya takwimu ya zama za Magufuli bado iko?) ni kwamba wakati Kikwete anatoka mdarakani mwaka 2015 wengi wa walizaliwa walikuwa wana miaka 28 kushuka chini. Au kwa maana nyingine wao ndiyo walikuwa wapiga kura wa mara ya kwanza mwaka 2005 wakati kikwete anagombea Urais.
Kundi hili kubwa la watanzania (75%) halijawahi kushuhudia Wakati Nyerere, Mwinyi, ama Mkapa wakiwa madarakani. Hawa ndiyo kina johnthebaptist huwafanya mateka kwa kuwaambia kwamba watangulizi wa Magufuli hakuna walichowafanyia watanzania zaidi ya kufilisi nchi.
Kwa kuwa historia imekusudiwa kupotoshwa na kina Countrywide Stroke na wenzao, nchi inakuwa imekwama kwenye kubishana kama Magufuli alikuwa bora kulliko wenziwe na hatatokea tena mwingine kama yeye ama alikuwa sawa tu na wenziwe.
Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi yetu, kunasababisha wapiga porojo wa Lumumba ambao walikuwa waimba pambio enzi za Magufuli ambao sasa wamejigeuza kuwa chawa wa Samia Suluhu Hassan, kusema uongo bila ya hofu ya kuumbuliwa.
Nchi imeendelzwa na wote. Kila.Rais kwa kuwango chake. Wengine hawakulalamikiwa kuja, kutesa, kumpoteza n.k. Mtukuze tu.Ukimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]