Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

Hakuna anayezungumzia kuhusu barabara mbovu zilizojengwa akiwa Waziri, hawazungumzii kuhusu Kile kivuko fake cha Kwenda Bagamoyo kwa masaa matatu, hatuzungumzii kuhusu kauli chafu na matusi kwa binadamu wenzake, hatuzungumzii kuhusu ku-impose fear kwa wananchi wake, hakuna anayezungunzia kuhusu kupotea watu na wengine kuokotwa kwenye viroba, hakun anayezungunzia kuhusu uporwaji wa fedha kwenye maduka ya kubadilishia pesa. Na mengine mengi......he was the worst President ever
 

Kwani akionekana bora kuliko waliomtangulia kuna tatizo ?....au hupendi hilo?...


JPM alikuwa kada wa Ccm kama watangulizi wake, hivyo walijenga nyumba moja hawawezi kugombea fito.
 
Azimio la Arusha liliacha msala mkubwa!
 
Kila awamu ina 'dark side', wapo wanufaika na walioumizwa pia.

Hapo ulipohitimisha kwa neno 'ever' sio sawa, kumbuka kuna awamu nyingine nyingi tu zitakuja huko mbeleni na huwezi kujua zitakuaje.
 
Nimeona tatizo ni kwamba kwa Mujibu wa takwimu za Sensa za mwaka 2022, wanzania walio chini ya miaka 35 ni sawa na 75%. Kwa maana nyingine wengi wa watu waliopo sasa ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1987 kuja 2022 wakati sensa inafanyika.
Nimejaribu kuangalia hizo demographics, lakini, for some reasons nashindwa. Kama hautajali, naomba unisaidie idadi ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65 kwa mujibu wa sensa ya 2022.

Kuna kitu muhimu sana nakifatilia kinachohusiana na hii.

Nitashukuru sana ukinisaidia katika hilo.
 
sawa. Naangalia kwanza Mpira!!
 
Mbona Mwinyi mwenyewe alitamka kwamba mwenzetu ametuzidi wote tuliomtangulia. Aliyoyafanya katika miaka mitano ni zaidi ya yote tuliyoyafanya sisi wengine. Unapingana na unayemtetea.
 
Umesema vizuri mkuu , mwendazake kwa sasa asingekua na tofauti na yule mchungaji wa Kenya alieaminisha watu kutokula mpaka wafe ili onana na mwana wa Mungu ,au Mungu mwenyewe face by face wakati mda akiwa lockup analalamika kwamba apewi chakula ,

Kifupi bwana yule alikiuka sana , taratibu za nchi kama sio miko ya uongozi,

Note
Yapo maombi na mfungo binafsi kwa ajili ya taifa na kiongozi mmoja mkubwa nje ya system(utawala kwa sasa) nilazima fanya hivyo maana ni matakwa ya yuleyule alie juu ,
Binafsi wapo wengi mwoyo wangu ulikua mweusi sana juu yao ikiwa ni pamoja na Maghufuli ,Makonda, Sabaya na wengine nje wale wanao nizunguka ,kabla ya mfungo huu nitatangaza hapa samehe ili moyo wangu kuwa mwepesi na mweupe ili kutimiza lile Niagizwa juu ya mfungo hujao ,

Kwa kumbukumbu tu sio mara ya kwanza kufunga na kusema jf pale yanapokua ni maagizo yake yeye ambae ni alpha na omega,
Mwisho
Binafsi sio mchungaji, sina kanisa daily on the way tafuta mkate wangu wa kila siku , na mara nyingi nimekua nalisema ,
Amani ya Bwana na ikawe juu yenu ,mwenye mada na wanajf wote,imekua
 
Kila awamu ina 'dark side', wapo wanufaika na walioumizwa pia.

Hapo ulipohitimisha kwa neno 'ever' sio sawa, kumbuka kuna awamu nyingine nyingi tu zitakuja huko mbeleni na huwezi kujua zitakuaje.
Kwa sasa, kwa baadae hatuwezi kujua! Shukrani
 
Tusubiri johnthebaptist Stroke Lucas mwashambwa walete mrejesho wa haya usemayo
 
Ukimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]
Nchi imeendelzwa na wote. Kila.Rais kwa kuwango chake. Wengine hawakulalamikiwa kuja, kutesa, kumpoteza n.k. Mtukuze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…