Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

Screenshot (54).png
 
Ukimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]
You are too young

Mradi gani kauanzisha huyo mtu kuanzia planning ?

Kikwete aliendeleza plan za Mkapa ,kikwete alikuta mkapa ameimarisha makusanyo yeye ndio akafungua biashara

MWENDOKASI JPM ALIUKUTA watu wanaujenga YEYE AKAZINDUA na kujinadi yeye mwenyewe

JPM FLYOVER ALIZIKUTA KWENYE PIPE LINE na tena amezisimamia ndivyo sivyo kwa mujibu wa ramani zilizosomwa na JPM mwenyewe akiwa waziri chini ya RaisJK,JPM kayageuza flyover kama kidaraja

Alikuwa na maana gani kubomoa jengo la Tanesco ubungo halafu unaacha kutekeleza ramani

Miradi mikubwa yote ya barabara kikwete ndio aliijenga kwa pesa za mikopo mpaka leo tunalipa

Taasisi zote unazozijua zilikuwa planned wakati wa Mzee mwinyi ,Ben Mkapa akazikamilisha TRA,PCCB na zingine nyingi

JPM karithi nchi kwa kikwete yenye uwezo wa kuajiri watu kila mwaka na kuongeza mishahara kila mwaka lakini yeye alishindwa kuendeleza

Huyo JPM amekopa pesa kwa siri amemuachia Mama wakati mgumu sana aendeshe nchi halafu alipa mikopo ya biashara yenye riba kubwa aliyojengea viwanja chato na kuhamisha mbuga za wanyama

Walikopa pesa za kujenga SGR sawa na bajeti yetu kwa miaka kadhaa halafu wamenunua mabehewa ya enzi za escape from sobibo

Pesa nyingine za mkopo JPM kaenda kujenga daraja lisilokuwa na faida huko kwao kigongo busisi

Leo viwanja vya chato vimeota nyasi na kuwa viota vya ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Siku Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi
 
Hakuna anayezungumzia kuhusu barabara mbovu zilizojengwa akiwa Waziri, hawazungumzii kuhusu Kile kivuko fake cha Kwenda Bagamoyo kwa masaa matatu, hatuzungumzii kuhusu kauli chafu na matusi kwa binadamu wenzake, hatuzungumzii kuhusu ku-impose fear kwa wananchi wake, hakuna anayezungunzia kuhusu kupotea watu na wengine kuokotwa kwenye viroba, hakun anayezungunzia kuhusu uporwaji wa fedha kwenye maduka ya kubadilishia pesa. Na mengine mengi......he was the worst President ever
1.5T
 
Ukimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]
Una umri gani wewe?
Weka points of comparison unalinganisha hao wote kwenye mambo gani?
 
Kila Siku Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi
Baba wa uchumi bila kuajiri watu? Baba wa uxhumi anapora pesa za watu na kuwabambikia watu case?
Baba wa uchumi gani anapora pesa kwenye burea de changes za watu kwa kutumia vikosi vya majambazi kina sabaya?
Ghhhhh
 
Ngoja nikwambie sasa, hakuna watu wezi wa mali za umma kama Matajiri, ukae ukilijua hilo.
1. Wakwepaji wakubwa wa kodi za serikali.
2.Waendesha biashara za magendo na haramu.
3. Wakandamizaji na waoneaji wakubwa wa Raia maskini.
 
Gagnija ingia kwenye website ya National Beural of statistics kwenye Preliminary results halafu angalia Population Pyramid.

Na takiwmu hizi pia kwamba vijana chini ya miaka 35 ni asilimia 75 ya watanzania wote zimetolewa na Waziri Ummy Mwalimu wakati akielezea ni kwa nini wamempa Diamond ubalozi wa Kupambana na Malaria.
Nashukuru Allen, nikikwama nitakujulisha.
 
Na zikitunzwa hizo kumbukumbu kuna hatari JPM akawa the best president katika nchi hii kwa vizazi vingi huko mbele.
 
sasa unamfananisha JPM na nani JK? Mama? BWM au Mwinyi?..

tuwe wakweli tu lile jamaa lilifaa kuwa Rais la Tanzania kwa miaka kama 40 hivi.. wakufa wangekufa na wakubaki wangebaki lakini Taifa lingesogea kimaendeleo.
 
nani aliwaza kuzalisha hata MW hata 1000 kwa miaka mitano hapa... lijamaa limekuja na wazo la kujenga project ya umeme 2125MW.. unafikiri binadamu wa hivi anawaza kama wale wanaopewa msaada wa net au wale furaha yao nikuona ziara za viongozi wa USA..

Binadamu aliyefikiri na kujenga flyover na barabara lane 6 huku akijenga daraja ziwani la km zaidi ya 3.... na kuanzisha project ya reli SGR zaidi ya 1000km haya yote in 10yrs.
Binadamu aliyefikiri watu wasome bure..
 
Mradi Gani mkubwa kuliko wote?
JK pekee tu UDOM, Mloganzila, Terminal 3 Airport ya DSM, Bomba la Gesi, Kinyerezi 1 and 2, Mwendokasi, mradi wa kuhamisha Maji ya ziwa Victoria kwenda kati ya nchi, Taasisi ya moyo JKCI, Shule za kata, Lami nchi nzima, Madaraja kama Kigamboni na malagarasi duh hizo za haraka haraka kichwani!!

Hayo angefanya JPM mngemjengea Sanamu!! Mind you JK alifanya hayo yote makusanyo yakiwa chini ya billion 800 kwa mwezi, kukiwa na wafanyakazi hewa na ufisadi wa kutisha!! Imagine Sasa angekua na makusanyo kama ya JPM ya almost trillion 2 kwa mwezi!!!
Angeyatoa wapi? 😀

Imagine Magufuli angekuwa na opportunity ya kukopeshwa mi trillion kama anayopewa mama kisha watu wanajichotea kwenye seminar uchwara na training za kijanja janja?

Mama kakopeshwa almost 30 billion USD hadi sasa. Na hana hata miaka mitatu madarakani.

Kwa ukabaji wa pesa wa Magufuli ikiwemo na tozo angefanya makubwa sana nchi hii. Angelipeleka taifa katika levels ambazo hatukuwahi dhani ingetokea in 10 years of his regime. Wanga kawaida yao ni kuponda ila Magufuli alikuwa ahead of time katika kufikiri mambo ya msingi.
 
Kaacha madeni makubwa vile vile na kuvuruga mfumo wa Hifadhi ya jamii. Miradi mingi aliiacha haijakamilika na inakamilishwa sasa. Kwa ivo ukiweka mradi kumbuka weka uliokamilika.

Ubungo interchange ulianza kutekelezwa tangu zama ya Kikwete na ndiyo maana zile nyumba za Ubungo zilibomolewa wakati Kikwete akiwa Rais.
Mzee kwenye mifuko ya hifadhi Hali ilikuwa Tete tokea kipindi Cha Kikwete Kwa mfano halis pspf walikuwa wanaidai serikali Zaid ya Trillion 7 na mifuko mingine pia kisa kukopeshwa

Wakina manji walikopa pesa za pspf wakawa hawalipi na hii ni Moja ya sababu serikali iliamua kuchukua majengo yake yote pale Quality center na mengine ili kufidia madeni hayo sugu
 
Kaacha madeni makubwa vile vile na kuvuruga mfumo wa Hifadhi ya jamii. Miradi mingi aliiacha haijakamilika na inakamilishwa sasa. Kwa ivo ukiweka mradi kumbuka weka uliokamilika.

Ubungo interchange ulianza kutekelezwa tangu zama ya Kikwete na ndiyo maana zile nyumba za Ubungo zilibomolewa wakati Kikwete akiwa Rais.
Mzee acha kuwa muongo Moja ya skendo ilifikia muda mizengo pinda aliingilia kati jpm alikuwa tayar kuachia uwazir kisa ni kubomoa hayo majengo ikiwemo ya Tanesco Kikwete alikuwa hatak majengo Yale yamobolewe kupisha upanuzi wa barabara
 
Unadhani waliomtangulia walikuwa hawana uthubutu?? Yeye alikuta watu wanaishi maporini? Shule na vyuo alivyosoma alijenga yeye??
Wangekuwa na uthubutu watu kama GSM wasingekuwepo nchini. Huduma zote za kijamii zingekuwa 100% efficient na wala wewe usingekuwa na muda wa kuchati humu jukwaani sahizi. Pengine ungekuwa na shift ya kupaki maparachichi kiwandani ili yaende UK huku ukilipwa hela nzuri kwa masaa.

Taasisi za serikali pamoja na mahakama wasingekuwa watetezi wa wahalifu na kugandamiza raia kama ilivyo sasa.
 
Urais si kuanzisha miradi tu , ni pamoja na kuweka usawa ,Haki na kulinda Katiba , Urais si utekaji wala uuaji wala udikteta .

Unapompima kiongozi gusa yote haya

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ikifika kwa JK ufisadi hamuuoni, ukwepaji kodi, wafanyakazi kutowajibishwa na kudharau wananchi na katiba pamoja na madawa ya kulevya yalivyoua vijana.

Mnaona kajenga miradi tu au sio na kuachia hela ya madawa kutapakaa mitaani huku huduma za kijamii zikiwa hoi bila usimamizi. Na hakuna kitu kinaacha kumbukumbu mbaya kama maumivu ya halaiki in favor of the elites. Magufuli alitufumbua macho kwamba tawala iliopita ilikuwa inatufanya sisi ng'ombe huku wao wakijineemesha na kufisadi hela za miradi tu.
 
Hebu tueleze hao watangulizi wake walikula nini na yeye hajala nini??

Mambo aliyoyafanya kwa kutumia urais kwa manufaa yake binafsi kuna Rais aliyetangulia anamfikia??

Hivi hela alizokuwa anatapanya angeziingiza kwenye Kilimo ama viwanda leo hii nchi yetu ingekuwa imepiga hatua kiasi gani??
We jamaa **** kweli yani, hivi hizo hela alizokuwa anatumia si ziko kwenye fungu la raisi kisheria. Ni hela ambayo anakuwa nayo binafsi tu na ukumbuke pia ana mshahara mkubwa tu. Nioneshe mahali ambapo Magufuli aligawa billion 1 kwa raia ili uweze ku justify kuwa alichezea hela.

Mtu mwenye mshahara wa zaidi ya 30M akigawa million 2-3 kwa watu wake kuna ubaya gani? 😀 Acha kukalia majungu hayatakusaidia.
 
Back
Top Bottom