Master Oogway
Senior Member
- Jul 7, 2022
- 141
- 342
Nipe Bei ya Mchele?Baba wa uchumi kivipi??
Nipe Bei ya Sukari?
Nipe Bei ya Unga?
Ukimaliza Kunipa, sema Magufuli Ahsante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe Bei ya Mchele?Baba wa uchumi kivipi??
Ushalewa muda huuKuaminika na Binadamu mwenzako siyo jambo dogo
Sasa hapo Chadema wote hamuaminiani ndio sababu Mnyika alijiamulia kusaini fomu za akina Halima Mdee hakutaka ujinga!
You are too youngUkimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]
Kila Siku Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:You are too young
Mradi gani kauanzisha huyo mtu kuanzia planning ?
Kikwete aliendeleza plan za Mkapa ,kikwete alikuta mkapa ameimarisha makusanyo yeye ndio akafungua biashara
MWENDOKASI JPM ALIUKUTA watu wanaujenga YEYE AKAZINDUA na kujinadi yeye mwenyewe
JPM FLYOVER ALIZIKUTA KWENYE PIPE LINE na tena amezisimamia ndivyo sivyo kwa mujibu wa ramani zilizosomwa na JPM mwenyewe akiwa waziri chini ya RaisJK,JPM kayageuza flyover kama kidaraja
Alikuwa na maana gani kubomoa jengo la Tanesco ubungo halafu unaacha kutekeleza ramani
Miradi mikubwa yote ya barabara kikwete ndio aliijenga kwa pesa za mikopo mpaka leo tunalipa
Taasisi zote unazozijua zilikuwa planned wakati wa Mzee mwinyi ,Ben Mkapa akazikamilisha TRA,PCCB na zingine nyingi
JPM karithi nchi kwa kikwete yenye uwezo wa kuajiri watu kila mwaka na kuongeza mishahara kila mwaka lakini yeye alishindwa kuendeleza
Huyo JPM amekopa pesa kwa siri amemuachia Mama wakati mgumu sana aendeshe nchi halafu alipa mikopo ya biashara yenye riba kubwa aliyojengea viwanja chato na kuhamisha mbuga za wanyama
Walikopa pesa za kujenga SGR sawa na bajeti yetu kwa miaka kadhaa halafu wamenunua mabehewa ya enzi za escape from sobibo
Pesa nyingine za mkopo JPM kaenda kujenga daraja lisilokuwa na faida huko kwao kigongo busisi
Leo viwanja vya chato vimeota nyasi na kuwa viota vya ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
1.5THakuna anayezungumzia kuhusu barabara mbovu zilizojengwa akiwa Waziri, hawazungumzii kuhusu Kile kivuko fake cha Kwenda Bagamoyo kwa masaa matatu, hatuzungumzii kuhusu kauli chafu na matusi kwa binadamu wenzake, hatuzungumzii kuhusu ku-impose fear kwa wananchi wake, hakuna anayezungunzia kuhusu kupotea watu na wengine kuokotwa kwenye viroba, hakun anayezungunzia kuhusu uporwaji wa fedha kwenye maduka ya kubadilishia pesa. Na mengine mengi......he was the worst President ever
Una umri gani wewe?Ukimtoa Mwl Nyerere, JPM is the best President kuliko yoyote kwenye kuanzisha miradi mikubwa. Tunaweza hapa kuweka one on one uone! Alafu msisahau katawala awamu moja tu [emoji4]
Baba wa uchumi bila kuajiri watu? Baba wa uxhumi anapora pesa za watu na kuwabambikia watu case?Kila Siku Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi
Ngoja nikwambie sasa, hakuna watu wezi wa mali za umma kama Matajiri, ukae ukilijua hilo.Baba wa uchumi bila kuajiri watu? Baba wa uxhumi anapora pesa za watu na kuwabambikia watu case?
Baba wa uchumi gani anapora pesa kwenye burea de changes za watu kwa kutumia vikosi vya majambazi kina sabaya?
Ghhhhh
Nashukuru Allen, nikikwama nitakujulisha.Gagnija ingia kwenye website ya National Beural of statistics kwenye Preliminary results halafu angalia Population Pyramid.
Na takiwmu hizi pia kwamba vijana chini ya miaka 35 ni asilimia 75 ya watanzania wote zimetolewa na Waziri Ummy Mwalimu wakati akielezea ni kwa nini wamempa Diamond ubalozi wa Kupambana na Malaria.
Angeyatoa wapi? 😀Mradi Gani mkubwa kuliko wote?
JK pekee tu UDOM, Mloganzila, Terminal 3 Airport ya DSM, Bomba la Gesi, Kinyerezi 1 and 2, Mwendokasi, mradi wa kuhamisha Maji ya ziwa Victoria kwenda kati ya nchi, Taasisi ya moyo JKCI, Shule za kata, Lami nchi nzima, Madaraja kama Kigamboni na malagarasi duh hizo za haraka haraka kichwani!!
Hayo angefanya JPM mngemjengea Sanamu!! Mind you JK alifanya hayo yote makusanyo yakiwa chini ya billion 800 kwa mwezi, kukiwa na wafanyakazi hewa na ufisadi wa kutisha!! Imagine Sasa angekua na makusanyo kama ya JPM ya almost trillion 2 kwa mwezi!!!
Mzee kwenye mifuko ya hifadhi Hali ilikuwa Tete tokea kipindi Cha Kikwete Kwa mfano halis pspf walikuwa wanaidai serikali Zaid ya Trillion 7 na mifuko mingine pia kisa kukopeshwaKaacha madeni makubwa vile vile na kuvuruga mfumo wa Hifadhi ya jamii. Miradi mingi aliiacha haijakamilika na inakamilishwa sasa. Kwa ivo ukiweka mradi kumbuka weka uliokamilika.
Ubungo interchange ulianza kutekelezwa tangu zama ya Kikwete na ndiyo maana zile nyumba za Ubungo zilibomolewa wakati Kikwete akiwa Rais.
Mzee acha kuwa muongo Moja ya skendo ilifikia muda mizengo pinda aliingilia kati jpm alikuwa tayar kuachia uwazir kisa ni kubomoa hayo majengo ikiwemo ya Tanesco Kikwete alikuwa hatak majengo Yale yamobolewe kupisha upanuzi wa barabaraKaacha madeni makubwa vile vile na kuvuruga mfumo wa Hifadhi ya jamii. Miradi mingi aliiacha haijakamilika na inakamilishwa sasa. Kwa ivo ukiweka mradi kumbuka weka uliokamilika.
Ubungo interchange ulianza kutekelezwa tangu zama ya Kikwete na ndiyo maana zile nyumba za Ubungo zilibomolewa wakati Kikwete akiwa Rais.
Wangekuwa na uthubutu watu kama GSM wasingekuwepo nchini. Huduma zote za kijamii zingekuwa 100% efficient na wala wewe usingekuwa na muda wa kuchati humu jukwaani sahizi. Pengine ungekuwa na shift ya kupaki maparachichi kiwandani ili yaende UK huku ukilipwa hela nzuri kwa masaa.Unadhani waliomtangulia walikuwa hawana uthubutu?? Yeye alikuta watu wanaishi maporini? Shule na vyuo alivyosoma alijenga yeye??
Ikifika kwa JK ufisadi hamuuoni, ukwepaji kodi, wafanyakazi kutowajibishwa na kudharau wananchi na katiba pamoja na madawa ya kulevya yalivyoua vijana.Urais si kuanzisha miradi tu , ni pamoja na kuweka usawa ,Haki na kulinda Katiba , Urais si utekaji wala uuaji wala udikteta .
Unapompima kiongozi gusa yote haya
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
We jamaa **** kweli yani, hivi hizo hela alizokuwa anatumia si ziko kwenye fungu la raisi kisheria. Ni hela ambayo anakuwa nayo binafsi tu na ukumbuke pia ana mshahara mkubwa tu. Nioneshe mahali ambapo Magufuli aligawa billion 1 kwa raia ili uweze ku justify kuwa alichezea hela.Hebu tueleze hao watangulizi wake walikula nini na yeye hajala nini??
Mambo aliyoyafanya kwa kutumia urais kwa manufaa yake binafsi kuna Rais aliyetangulia anamfikia??
Hivi hela alizokuwa anatapanya angeziingiza kwenye Kilimo ama viwanda leo hii nchi yetu ingekuwa imepiga hatua kiasi gani??