Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unataka baba wa uchumi uwe wewe au 😀? Wewe ni baba wa majungu tulia dawa ikuingie.Baba wa uchumi kivipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka baba wa uchumi uwe wewe au 😀? Wewe ni baba wa majungu tulia dawa ikuingie.Baba wa uchumi kivipi??
Imagine JPM alipora ushuru wa majengo wa halmashauri, alizuia safari za nje, alikataa kuajiri n.k ila Bado miradi alikua anakopa!! Sasa JK alikusanya less than 900 B kwa mwezi ila amefanya miradi mikubwa sasa jiulize naye angekataa kuajiri na angezuia safari za nje angefanya mangapi zaidi?Kwa ukabaji wa pesa wa Magufuli ikiwemo na tozo angefanya makubwa sana nchi hii. Angelipeleka taifa katika levels ambazo hatukuwahi dhani ingetokea in 10 years of his regime
Hoja ya nyie team JPM ni Miradi Miradi Miradi kwamba hawezi sahaulika sababu ya miradi kibao aliofanya na ndio maana tunafanya comparison na JK kwenye miundombinu.Ikifika kwa JK ufisadi hamuuoni, ukwepaji kodi, wafanyakazi kutowajibishwa na kudharau wananchi na katiba pamoja na madawa ya kulevya yalivyoua vijana.
Mnaona kajenga miradi tu au sio na kuachia hela ya madawa kutapakaa mitaani huku huduma za kijamii zikiwa hoi bila usimamizi. Na hakuna kitu kinaacha kumbukumbu mbaya kama maumivu ya halaiki in favor of the elites. Magufuli alitufumbua macho kwamba tawala iliopita ilikuwa inatufanya sisi ng'ombe huku wao wakijineemesha na kufisadi hela za miradi tu.
Allen Kilewella yupo sahihi mchakato wa hyo interchange ulianza kipindi Cha JK kupitia mradi mkubwa wa DMDP chini ya kipengele Cha de-congestion dar es salaam kwenye Mpango wa taifa wa miaka 5. So kuanzia mwendokasi phase 1 and 2, sijui upanuzi wa Barabara n.k lilikua zao la JK. Tatizo mnachanganya actual ujenzi na pesa kutolewa!!Mzee acha kuwa muongo Moja ya skendo ilifikia muda mizengo pinda aliingilia kati jpm alikuwa tayar kuachia uwazir kisa ni kubomoa hayo majengo ikiwemo ya Tanesco Kikwete alikuwa hatak majengo Yale yamobolewe kupisha upanuzi wa barabara
Shida kubwa ni kunarrow tatizo badala ya kulitazama kwa ukubwa wake, mfumo aliouasisi mwalimu ndio ulizalisha viongozi aina ya Magufuli, rejea nyuma huko utakuta changamoto za kimaadili kwa mwalimu kama kiongozi ' sikupi kisa cha yona kazi Bure au changamoto ya Mwl na Osca kambona lakini itoshe tu kueleweka kwamba CCM imetufanya kuwa dhaifu sana Kama Taifa na hili ni kutokana na kule mwalimu kushindwa kumudu kuongoza nchi tangu awali kutokana na udhaifu wake wa kimaadili kama kiongozi. The bottom lineUnamlinganisha mtu aliyejenga viwanda nchi nzima vikaja kuuzwa na Mkapa, na huyu mnayetaja kwa mambo ya daraja na miradi ambayo hakuna alioacha umekamilika na sasa inakamilishwa na Samia Suluhu.
Ongeza na kiwanda cha Dangote...Mradi Gani mkubwa kuliko wote?
JK pekee tu UDOM, Mloganzila, Terminal 3 Airport ya DSM, Bomba la Gesi, Kinyerezi 1 and 2, Mwendokasi, mradi wa kuhamisha Maji ya ziwa Victoria kwenda kati ya nchi, Taasisi ya moyo JKCI, Shule za kata, Lami nchi nzima, Madaraja kama Kigamboni na malagarasi duh hizo za haraka haraka kichwani!!
Hayo angefanya JPM mngemjengea Sanamu!! Mind you JK alifanya hayo yote makusanyo yakiwa chini ya billion 800 kwa mwezi, kukiwa na wafanyakazi hewa na ufisadi wa kutisha!! Imagine Sasa angekua na makusanyo kama ya JPM ya almost trillion 2 kwa mwezi!!!
HahahahaaaaaMagufuli kama McKenzie Kwa kweli
Huwaambii kitu wafuasi wake...
Akitokea mtu akasema wafuasi wa Magufuli wasile chakula mwaka mzima ili afufuke ...mbona tutabaki mdomo wazi...