Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

vaa sound proof material
just joke kuziepuka usitrade wakat masoko makubwa yapo online yote
wanaita market overlaping

1 sydney na tokyo kuanzia saa 9 usk mpaka saa 3 asubuh Major quotes AUD na JPY
2 closing time ya Tokyo inakutana na LO saa 5 asbh mpaka saa 6 pound inapambana na Yen ya japan
3 saa 10 jion mpaka saa 1 jion Sehemu maarufu kwa kutrade walstreet wanaopen NY huku London wakikaribia kuclose
NA rangi za masoko zinaonyesha votality ya masoko kama wewe ni dereva wa gari hautoshindwa kuzitambua hizo rangi
 
hukuona nilibold kabisa, sitegeki mkuu naweza kuzitega pips tu
 
mtoa mada yupo smart upstairs hilo nimelitambua
kale kamsemo ka kuwa sio kwa wote kapo sawa kabisa
 
Hii Forex najitahidi niielewee lakini naona Gizaaa tuuu...!! Kwani mtaji sh ngap unahitajika??? Unafanyaje ilii kupata hizo faidaaa..??? Hao broker ni kina nani??? Kama ni online ishu haiwezekani siku ukakuta acc yako imecrush down????
 
Umekosea mkuu, jibu sio sahihi!! Ndio maana nakwambia bado unatakiwa ujifunze!!

Kama pip moja ina thamani ya 0.1usd na kama ukitumia position size ya 0.01 basi faida au loss itakua sawa bila kujali account ina equity au balance kiasi gani!!
Ndio hapo na mimi nimeshangaa mkuu... amenifanya nijione kumbe bado mbumbumbu kabisa
 
Naona umeandika insha kuubwa isiyo na mantiki!!

Siwezi nikaona unakosea nikakaa kimya, ni lazima nikujulishe ili na wewe ujifunze zaidi na zaidi, hivyo ndivyo tunavyoishi!!

Ungekua mtu timamu ungeenda mbele zaidi na kuhakikisha kama nnachokuambia ni kweli na kama ni uongo basi na mimi unikosoe na sio tofauti na hapo kiongozi!!

Kwenye forex tunajifunza kila siku na moja ya njia za kujifunza ni kukosolewa unapokosea!! Sasa kwanini ukikosolewa unaumia?

Hakuna mtu anayejua kila kitu na hata akina ronaldo japo ni professional players lakini wanafanya mazoezi kila siku!!
 
Great FX king
 
Great FX king
FX king ni akina george soros mkuu, mimi ni "upepo wa pesa" mkulima wa nyanya katika moja ya vijiji vya ndani kabisa hapa Tanzania.

Chukua ujumbe niliokupa na uufanyie kazi kwa manufaa yako mkuu!!
 
FX king ni akina george soros mkuu, mimi ni "upepo wa pesa" mkulima wa nyanya katika moja ya vijiji vya ndani kabisa hapa Tanzania.

Chukua ujumbe niliokupa na uufanyie kazi kwa manufaa yako mkuu!!
haha aliyekuwa mjumbe sahihi alikuwa ONTARIO tu na alifika wakati sahihi wewe umechelewa
 
FX king ni akina george soros mkuu, mimi ni "upepo wa pesa" mkulima wa nyanya katika moja ya vijiji vya ndani kabisa hapa Tanzania.

Chukua ujumbe niliokupa na uufanyie kazi kwa manufaa yako mkuu!!
Mu acknowledge basi hata The Bold kwa kukuambia George Soros ni nani mimi nilimsoma darasani
 
Chochote usichokijua ni fursa kwa anaekijua..
Hujui kusoma ni fursa kwa mwalimu
Hujui gari gani inakwenda wapi na nauli bei gani ni fursa kwa wagonga debe.

N.k!
 
FX king ni akina george soros mkuu, mimi ni "upepo wa pesa" mkulima wa nyanya katika moja ya vijiji vya ndani kabisa hapa Tanzania.

Chukua ujumbe niliokupa na uufanyie kazi kwa manufaa yako mkuu!!

Sawa ndugu LODRICK
 
FOREX TENA !!!?????
witnessj ukuje huku taratibu
 
Mu acknowledge basi hata The Bold kwa kukuambia George Soros ni nani mimi nilimsoma darasani
Ningemu acknowledge kama nilijifunza kwake, ila kwa sababu sijajifunza kwake sikuona sababu ya kufanya hivyo.
 
will kill this broker today go short GBP as the base before 1900hrs
habari mkuu nina shida na wewe kima wazo tu. naomba uni text maana nimejaribu nimeona ume weka limiti plz tafadhari
 
Misukule bado mnacheza bahati nasibu..placing your fate on lowlife immature TMT baboons!!

Saivi wote mmeona kuwa ni imposible kutoboa kwa kitrade mmerudi mnajifanya walimu..hahaha crowding forex junkies!!

Endeleeni kupigwa vipara tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…