Tickmill waweza withdrawal kwa MPESA?Ukurupukaji ndio uliowagharimu wengi hadi forex kuonekana ni scam. Forex ni biashara nzuri mno, introduction ya wiki moja ni ndoto kukupa ufanisi, binafsi nimeisomea kwa gharama kubwa hadi kutunukiwa cheti cha ufaulu.
Ukijua kufanya TECHNICAL ANALYSIS hapo waweza kuwa na mafanikio makubwa ajabu.
Fundamental analysis hiyo ni pata potea kwani MARKET MARKER huwa wanachezea kalenda ( economic news)
Trader mjanja huwa hatrade news kuepuka mitego ya market marker.
Broker..ninamkubali sana Tickmill
una viwanda vingapi?kwa nini usizalishe mali?
hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..
kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania
Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe
una viwanda vingapi?
Hahaha,Freshman umesema kweli kabisakwa nini usizalishe mali?
hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..
kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania
Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe
hivyo ndivyo ulivyochagua maisha yako,na wengine wamechagua forex,heshimu uamuzi wao,hawali kwakokwa vigezo vya cherehani nne ni kiwanda.. nina viwanda vingi sana...
1. ni mmiliki wa tshirt workshop
2. ni mmiliki wa studio ya kupiga picha za kisasa
3. ni mmiliki wa loundry and dry creaning shop
4. ni mmiliki wa car wash
5. ni mmiliki wa sehem za kuonesha mpira kadhaa...
na zingine nyingi ikiwemo mkulima
Duuh hii ya leo mkuu?
Wale wale tu..yaani unakuja kimkandia Jeff kumbe unataka kuwa na wewe mentor..!!Nitatoa nafasi moja ya mentorship bure kabisa sitahitaji malipo yoyote kwa atakayefanikiwa kupata nafasi hiyo.
Soon ntatoa update jinsi ntakavyompata
Nafurahi pia kuona watu wanakuja Pm kunichora
Tutumie MBs zetu kufanya yenye faida
Acha uoga baba mimi mwenyewe bado hata sielewi nikisoma vitabu nilikuwa chenga tu. Nenda training upate mwanga then urudi kusomaKudownload pesa 'hewani'... hii kitu nilijaribu kutuliza akili zangu zooote za usiku & mchana, but nikawa naona chenga tu!
Nilianza kwa kujisomea vitabu me mwenyewe, then nikapractise kwa demo, nikawa sielewi... uduwanzi tu.
Eventually, nikaconfirm ule usemi wa kwamba 'FOREX isn't for everybody'. Hii kitu tuwaachie 'akili kubwa' akina Khantwe waendelee kudownload pesa hewani.
I re-switched back to street hustling.
-Kaveli-
MnachuzanaDuuh hii ya leo mkuu?
Forex pays me pal, nikisema nianze mentorship ntachafua hali ya hewa.
Doesnt anyone want to download blue screen?? Nani hapendi pesa??
Nakuonea huruma
Mimi nasubiria breakout ya hiyo pair ,nadhani ijumaa let the market prove me wrong