Taarifa gani za uongo wamepelekewa??? Kwani hamjapora uchaguzi na kuua watu huku baadhi mkiwafungulia kesi zisizo na dhamana ili wasishiriki uchaguzi ??? Madiwani wa Songwe waliofunguliwa kesi zisizo na dhamana ni uongo??? Watu waliouawa Zanzibar ni uongo??? Wapinzani waliondolewa kwenye mchakato huku mkipitisha wagombea wenu kupita bila kupingwa ni uongo???Chadema ni bora muanze kujiandaa kwa 2025 msitegemee wazungu wataitikisa Tanzania hawana pa kuanzia mnawapelekea taarifa za uongo.Ngoja serikali indie kazini utashuhudia kasi inayokuja ya kuleta maendeleo. Mabilionnaire wa kitanzania wanakwenda kutokea
kumbe unafuatilia bunge?si mmesusa?Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Lissu hajakimbia, amebadili uwanja wa mapambano. Sasa subirini matokeo tu!Leo ulienda shughulini kuangalia hawa mabwana zako uliowataja hapa kama wamehudhuria. Kaxi iko.
Lissu alivyokuwa anatamba kwenye kampeni leo kaikimbia nchi kamuacha shekhe Ponda na yule balamu wake kwenye mataa.
Nimeangalia hotuba ya magufuli bungeni leo kuona kama ataomba msamaha kwa ufedhuli waliofanya yeye na Chama chake.kumbe unafuatilia bunge?si mmesusa?
akuombe msamahe we nani kwaniNimeangalia hotuba ya magufuli bungeni leo kuona kama ataomba msamaha kwa ufedhuli waliofanya yeye na Chama chake.
Kama watanzania wenye nchiakuombe msamahe we nani kwani
Hiyo haina shida maana kwenye UAPISJO WAKE RAISI WALIKUWEPO INATOSHANi swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
watanzania wenye nchi walishaamua,wewe baki kwenye nchi yako ya twitterKama watanzania wenye nchi
Watanzania gani walishaamua??? Yani unaongea hadi mwenyewe unaona aibuwatanzania wenye nchi walishaamua,wewe baki kwenye nchi yako ya twitter
Lissu hajakimbia, amebadili uwanja wa mapambano. Sasa subirini matokeo tu!
Siku si nyingi utajua kama ni mwendawazimu au laAtabadili sana hana lolote kabakia kuwa tapeli la kisiasa tu namtetezi wa ushoga.
Wakala wa shetani hajielewi huyo miezi 2 ya kampeni kaandamana na mlinzi na kumwamini ambaye ni polisi kampeni zimeisha kakimbilia kwa mabwana zake ubeligiji hana imani na polisi. Huyu si mwendawazimu tu huyu.
Nijue mara ngapi?Siku si nyingi utajua kama ni mwendawazimu au la
Najua wajua ila utajuzwa zaidiNijue mara ngapi?
Kwani Wewe ukiandaa 'Hafla' Kwako na 'Kuwaalika' Marafiki zako pamoja na Washirika wasipokuja miongoni inamaanisha kuna 'tatizo' lolote lile?Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Najua wajua ila utajuzwa zaidi
Duh kasema hayo?Naona Nduli Kayafa ameanza kujihami eti tuzizoee tiba asili. Anajua huko alikotuingiza chaka Serikali yake itakuwa haina uweza wa kununua Asprin
Kwani Tanzania imeizidi nini Kenya??Tanzania haimtegemei binadamu inamtegemea Mungu. Tazama wategemezi wa Binadamu Kenya utapata jawabu