Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Chadema ni bora muanze kujiandaa kwa 2025 msitegemee wazungu wataitikisa Tanzania hawana pa kuanzia mnawapelekea taarifa za uongo.Ngoja serikali indie kazini utashuhudia kasi inayokuja ya kuleta maendeleo. Mabilionnaire wa kitanzania wanakwenda kutokea
 
Taarifa gani za uongo wamepelekewa??? Kwani hamjapora uchaguzi na kuua watu huku baadhi mkiwafungulia kesi zisizo na dhamana ili wasishiriki uchaguzi ??? Madiwani wa Songwe waliofunguliwa kesi zisizo na dhamana ni uongo??? Watu waliouawa Zanzibar ni uongo??? Wapinzani waliondolewa kwenye mchakato huku mkipitisha wagombea wenu kupita bila kupingwa ni uongo???
 
Leo ulienda shughulini kuangalia hawa mabwana zako uliowataja hapa kama wamehudhuria. Kaxi iko.

Lissu alivyokuwa anatamba kwenye kampeni leo kaikimbia nchi kamuacha shekhe Ponda na yule balamu wake kwenye mataa.
Lissu hajakimbia, amebadili uwanja wa mapambano. Sasa subirini matokeo tu!
 
Hawajahudhuria wanamuandalia Jiwe zawadi yake nzuri kwa kazi nzuri alioifanya yeye na Hussein Mwinyi wakati wa uchaguzi Mkuu .
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Hiyo haina shida maana kwenye UAPISJO WAKE RAISI WALIKUWEPO INATOSHA
 
Lissu hajakimbia, amebadili uwanja wa mapambano. Sasa subirini matokeo tu!

Atabadili sana hana lolote kabakia kuwa tapeli la kisiasa tu namtetezi wa ushoga.

Wakala wa shetani hajielewi huyo miezi 2 ya kampeni kaandamana na mlinzi na kumwamini ambaye ni polisi kampeni zimeisha kakimbilia kwa mabwana zake ubeligiji hana imani na polisi. Huyu si mwendawazimu tu huyu.
 
Siku si nyingi utajua kama ni mwendawazimu au la
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Kwani Wewe ukiandaa 'Hafla' Kwako na 'Kuwaalika' Marafiki zako pamoja na Washirika wasipokuja miongoni inamaanisha kuna 'tatizo' lolote lile?
 
Tanzania haimtegemei binadamu inamtegemea Mungu. Tazama wategemezi wa Binadamu Kenya utapata jawabu
 
Back
Top Bottom