Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Sawasawa wakati ni jibu
Wewe jamaa kipindi cha kampeni nilikwambia una upeo mdogo sana wa kufikiri, nikakwambia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. ukawa mbishi. Baada ya uchaguzi ukapotea humu, umerudi na ngonjera nyingine feki. Mnatia huruma sana wafuasi wa Lissu na Lissu wenu. Ndo hivyo Raisi ni JPM na kwa akili hizi mpaka 2025 Chadema itakuwa Kama SAU au CHAUMA.
 
Jibu lipo wazi. Mhutu kalikoroga, sasa alinywe.
 
Lissu kutokua rais kwa kumuibia kura zake mbona ni possible and thats what happened!

Kwa mujibu wa kuiba kura ni kweli ulikua sahihi hawezi kua rais!

And that makes you are hero?

No

Its makes you super stupid
Nilimwambia by any means necessary Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hapa duniani ujanja ni kupata, kama mnataka haki subiri mwende mbinguni. Hizo habari za HERO na sijui upuuzi gani unazijua wewe. Ila Raisi ni JPM hata muwe na hasira kiasi gani haisaidii. Upinzani subirini hadi 2050 labda.
 
Siku si nyingi utaamini maneno ya Msemo โ€œ Haki ya Mtu haipotei โ€œ kuwa ni ya kweli na yanafanya kazi.
 
Wanaepuka mikusanyiko sababu ya corona. Wala hakuna sababu nyingine
 
Tulia kijana, zao la mabeberu.
 
HATA TRUMP ALISUSIA MATOKEO, LAKINI MBONA NCHI INA SONGA MBELE....??
 
Dikteta ataishia pabaya sana.
 
Inawezekana wewe hapo ulipo leo umefika kwa mizinga ila sahau ni dawa. Endelea kujitibia na kujifariji. JPM kwenye kampeni alikuwa muwazi alipiga mzinga kwa Chenge.
imekugusa hiyooo ya mizinga ehh, tafta kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ