Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
We utakua wapi ng'ombe we! Trump mwenyewe analalamika, mbona hawaweki vikwazo huko Marekani??? wasitutishe,Stay tuned, kwani Dr. Mwinyi alikuepo? Yanapigwa furushi la vikwazo si mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakua wapi ng'ombe we! Trump mwenyewe analalamika, mbona hawaweki vikwazo huko Marekani??? wasitutishe,Stay tuned, kwani Dr. Mwinyi alikuepo? Yanapigwa furushi la vikwazo si mda
Wewe jamaa kipindi cha kampeni nilikwambia una upeo mdogo sana wa kufikiri, nikakwambia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. ukawa mbishi. Baada ya uchaguzi ukapotea humu, umerudi na ngonjera nyingine feki. Mnatia huruma sana wafuasi wa Lissu na Lissu wenu. Ndo hivyo Raisi ni JPM na kwa akili hizi mpaka 2025 Chadema itakuwa Kama SAU au CHAUMA.Sawasawa wakati ni jibu
Jibu lipo wazi. Mhutu kalikoroga, sasa alinywe.Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Kwani nani aliyeshinda kweli uchaguzi wa mwaka huu??
Mngeacha kura halali ndo zihesabiwe na kutangzwa ndo ungeona Kama Lissu ameshinda au hajashindwa
Kwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu?
Nilimwambia by any means necessary Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hapa duniani ujanja ni kupata, kama mnataka haki subiri mwende mbinguni. Hizo habari za HERO na sijui upuuzi gani unazijua wewe. Ila Raisi ni JPM hata muwe na hasira kiasi gani haisaidii. Upinzani subirini hadi 2050 labda.Lissu kutokua rais kwa kumuibia kura zake mbona ni possible and thats what happened!
Kwa mujibu wa kuiba kura ni kweli ulikua sahihi hawezi kua rais!
And that makes you are hero?
No
Its makes you super stupid
Siku si nyingi utaamini maneno ya Msemo “ Haki ya Mtu haipotei “ kuwa ni ya kweli na yanafanya kazi.Nilimwambia by any means necessary Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hapa duniani ujanja ni kupata, kama mnataka haki subiri mwende mbinguni. Hizo habari za HERO na sijui upuuzi gani unazijua wewe. Ila Raisi ni JPM hata muwe na hasira kiasi gani haisaidii. Upinzani subirini hadi 2050 labda.
Mshaanza kuisingizia tena corona eeeh?? Subirini tu!Sababu kubwa ni Korona
Wenzetu bado awaruhusiwi kufanya mikusanyiko
Mtaaibika kuwaona ikulu wakiandamana usawa wa mguu kushoto.
Endelea kuishi kwenye hiyo dunia yako ya kusadikikaAliyeshinda uchaguzi ni J.P.J.Magufuli.
Kura zilizohesabiwa ni halali kabisa, hizo lawama zenu ni njia ya kufuta aibu ya anguko lenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni kuwaza kuwa dunia inaichukulia tz kama taifa kubwa, asilimia 99 ya watu ukitoa waafrika ulimwenguni hawaijui Tz..CCM vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila Tanzania
Tulia kijana, zao la mabeberu.Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
HATA TRUMP ALISUSIA MATOKEO, LAKINI MBONA NCHI INA SONGA MBELE....??Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Dikteta ataishia pabaya sana.Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
imekugusa hiyooo ya mizinga ehh, tafta kazInawezekana wewe hapo ulipo leo umefika kwa mizinga ila sahau ni dawa. Endelea kujitibia na kujifariji. JPM kwenye kampeni alikuwa muwazi alipiga mzinga kwa Chenge.
hahahahahahah anahis mtu flan akipewa nchi wataruhusiwa kuuza nyapu pori hizo apate kipatoMkuu hata huyu muanzisha uzi Lord denning ninawasiwasi nae, vijana wengi humu ni masikini😀
God hates proud.imekugusa hiyooo ya mizinga ehh, tafta kaz
Wewe! Sema dona kantre!Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!!😂😁😅😏😄😄😂🤣
together bro, s unajua tunatetemeshana online humu🤣🤣God hates proud.