Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Utajifunzaje kujitegemea wakati serikali yako inawategemea na haiwezi kuishi bila wao.
Maisha ya kinafiki ndiyo yamekutawala
Kama hawakupewa mwaliko je?
Na ni lazima wawepo ndiyo nchi uendelee?
Watanzania tujifunze kujitegemea
Mtegemea cha nduguye ufa masikini
 
Mwenye shuhuli hakuwaalika. Wangelialikwa wangelifika tu, hizo ndizo protocols za kibalozi.
 
Bila ya kuwa na ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania si chochote Duniani..

Hata kama mnaringia hizo rasilimali,mkitengwa hizo rasilimali mtamuuzia Nani?
Hajitambui haya majamaa
 
Msaada zaidi akampe Trampuu
 
Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
Uchaguzi bilioni 300 na usheee tumegharamikia wenyewe na chenji imebaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mfuko wa cement 35,000/ sukari kg 3500/.....
Haa😂😁😀😀🙄
Usinikumbushe Enzi Za Mwijage Anapiga Domo Tu
Sukari, Mafuta Ya Kupikia Bei Juu
Akiwa Bungeni Hakuna, Baadaye Akawa Jipu Akaiva Akatumbuliwa. Naona Hali Tete Sana
 
Kwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Unakipi chashindana na Mzungu au mnalishana ujinga tu! Mzungu alikuwa naakili miaka mingi mpaka kaja kutawala babu zetu niambie mtu mweusi alimtawala Nani...mnalishana matango pori tu!
 
Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Msivimbiwe tu na hizo popcorn! Maana tunataka mjionee wenyewe namna TANZANIA inasimama kiuhalisia katika kujitegemea !
 
Tanzania ni km ulaya sasa hao wa ulaya wakija tunakua km mapacha so ni uhatibifu tu wa raslimali watu..... Ndio maana hawakuua🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…