Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

CCM hawata liona hilo. Maana ni vipofu, viziwi ila wamejaliwa mdomo wa kuongea na ubongo wa mende. Kuna siku watashtuka lakini itakuwa too late.
Hilo beberu lenu amsterdam na shoga hawawezi kuitisha Tanzania. Kama nawe muoga Kama Lema nenda ukimbizini Kenya.
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Hv walifuata nini hao Mabalozi siku alipoapishwa Rais?
 
Yaelekea elimu na mwamko wako mdogo. Morocco na Misri zinazoipa misaada Tanzania, zo zenyewe zategemea misaada ya nchi zilizoendelea. Leo ukisema Tanzania haihitaji misaada…...nadhani unasikiliza mno hotuba za CCM. Punguza.
Wewe ndio punguani, Misaada yoyote inayoondoa utu na heshima ni upumbavu na ujinga!

Tupoteze Uhuru wetu kisa ni msaada, Tushindwe kujiamlia mambo yetu kisa ni msaada,

Sikatai wewe kuwa miongoni mwa wajinga Kwa vile Dunia ndivyo ilivyo
 
Maslahi ya Tanzania na ya wazungu ni makubwa kuliko njaa za vibaraka kama Zitto na Lissu.

Vibaraka huwa wanatumiwa na mwisho wa siku wakichokwa wanatupwa Kama condom iliyotumiwa.

Savimbi, Samuel Doe na Mobutu ni mfano tu wa unyama wa mtu mweupe.

Tanzania ni nchi kamili yenye mamlaka kamili haiwezi kutishwa na siasa za kibinafsi.
 
Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
For y'all prophets of doom stop morbid speculations, it won't do you good.

You'll end up heart broken with your morbid fascinations.
 
Mkuu,

Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.

Vitisho vya kushitaki Mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.

Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya Utanzania hata wa kununua!!!
Hakuna sifa ya Mtanzania anayokubali mgombea ashinde kwa kura feki. Yaani wananchi wapige kura then zisihesabiwe na wahesabu kura feki alafu useme huyo asiyekubali hilo hana sifa ya utanzania?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], Nyinyi vilaza ndiyo mnawapa kichwa hao watawala wenu.
 
Wewe ndio punguani, Misaada yoyote inayoondoa utu na heshima ni upumbavu na ujinga!

Tupoteze Uhuru wetu kisa ni msaada, Tushindwe kujiamlia mambo yetu kisa ni msaada,

Sikatai wewe kuwa miongoni mwa wajinga Kwa vile Dunia ndivyo ilivyo
Kuua watu na kupora uchaguzi ndo kujiamulia mambo yenu??
 
Mwisho wao umeshafika ndugu. We tulia tu. Watakimbiana soon
Hakuna sifa ya Mtanzania anayokubali mgombea ashinde kwa kura feki. Yaani wananchi wapige kura then zisihesabiwe na wahesabu kura feki alafu useme huo asiyekubali hilo hana sifa ya utanzania?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], Nyinyi vilaza ndiyo mnawapa kichwa hao watawala wenu.
 
Mh.Rais kasema Uchaguzi ulikuwa wa amani na utulivu,sasa wasi wasi wa nini kwa hawa jamaa kutohudhuria?
Ndiyo huyo huyo aliyesema million 50 kwa kila kijiji acha na ile kauli ya tunajenga kwa fedha zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Baada ya muda akasema kwani mkopo pia ni fedha yetu kwani tutailipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi ni matajiri ndiyo mana tunakopesheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa hatari sana
 
Jamani watanzania uchaguzi umefanyika raisi amepatikana na ni raisi wa wote Tanzania. Sasa hizi figisu tunazo ziunga mkono za hawa mabeberu eti wanatutetea ni unafki tu. Wangekuwa wanatupenda wasinge wakata mababu zetu mikono, wasingetuibia madini
 
Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Hai mabeberu wanakulisha na kukusaidia Nini kwa kiasi kikubwa Sana ambacho huwezi kujitafutia? Halafu naona umeandika wanawalisha ina maana wewe na familia yenu au chadema ndo maana Lissu kaona ahamie hukohuko au wewe na Nani?
 
Kwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu?

Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
Mleta mada nilikuonya kwamba baada ya uchaguzi utaishi kwa stress sana.

Mbona hao mabalozi walikuwepo siku anaapishwa?
 
Wao si makamanda wanakimbiaje sasa! Mlihamasisha maandamano yakashindikana ,mnakuja humu kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu!
Wewe umeanzisha ipi yenye kichwa miguu na kiwiliwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ni zama za information technology,ingia Google tafauta.habari usizibae

China ina hisa nyinyi tu Katika Benki za Marekani na biashara nyengine nyinyi
Hilo lipo wazi,je kwamba inafanya biashara Us na Europe kuliko Africa unazo takwimu?
 
Umemsikia Gwajiboy lkn leo? Vision ya Presidaa ni moto wa kuotea mbali,mabeberu lazima wachanganyikiwe.

Nyerere alikuwa na vision kubwa kuliko ya jiwe, lakini tulivaa viraka.
 
Back
Top Bottom