Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Mchina ameongea na mzee wakakubaliana ndiyo maana toka 2015 hujawahi kuona Rais kutoka Ulaya au Marekani katembelea Tz
Taja nchi ya Africa mashabiki na rais gani wa ulaya na marekani aliyetembelea, siyo kuja na maneno ya ufipa yasiyo na kichwa Wala miguu.
 
Kinachofanyika sasa, ni Heri mngeruhusu maandamano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado tu unajifariji?

"Lisu ni rais wako wa 2020 - 2025 utake usitake"

Haya kiko wapi sasa? Ulifikiri unashindaniwa umonitor wa darasa la nne?
 
Mkuu nlikwambia baada ya matokeo utapata tabu sana!

Kwani kutokuwepo kwao kuna maanisha nini wakati siku ya kuapishwa walikuwepo?

Acha kujifariji kijana! Ni yeye wako kashakimbia nchi
Kwani nani kashinda kihalali uchaguzi uliopita??
 
Tanzania ni nchi huru hatubabaishwi na chochote japo sis wananchi wa mkiani tutaumia kweli mungu atusaidie sana
 
Mbelgiji ndio kashinda na sasa hivi ni Rais wako yuko Ikulu pale magogoni.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Pamoja na kuwa umeandika kikejeli. Ila huo ndo ukweli wenyewe
 
Taja nchi ya Africa mashabiki na rais gani wa ulaya na marekani aliyetembelea, siyo kuja na maneno ya ufipa yasiyo na kichwa Wala miguu.
Trump-Kenya na Waziri Mkuu wa Uingereza alitembelea Kenya mwaka juzi(30 Ago 2018)mpuuzi wewe huelewi hata dunia inaenda wapi?
 
Back
Top Bottom