Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji! Hivi TL wenu si yupo ubelgiji kaunganeni nae huko sisi ni Nchi huru!.Hivi kwa akili zenu mnategemea hao mabeberu wenu watawasaidia? ,kutokuudhuria kwao si kitu kwetu!.Haizui sisi kuendelea na mambo yetu!.
Payuka tu, kesho Kabudi anaanza ruti za kwenda huko kuomba misaada.
 
Kwa iyo crime against humanity dhidi ya magufuli na watu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa waliyofanya Zanzibar, Songwe, Mara na Singida ni mambo ya kutunga????

Bwashee, mnataka kuninyang’anya hadi uraia wangu??? Mie nimeuliza swali tu, punguza hasira.
Ndivyo walivyo lelewa bila ya vitisho wanaona ujumbe hautofika

Haya ndio matatizo ya kufikisha ujumbe kwa kumpiga mtoto..

Mungu tusaidie Waafrika chini ya jangwa la Sahara..
 
Kwani hao wazungu mnaowasifu na kuwasujudu kila siku humu ndani jf ni akina nani hapa duniani. Msituchoshe hebu .
 
Magu aliwatangazia,aliwahakikishia kuwa Uchaguzi utakuwa huru na wa haki..

Kawatia changa la macho,wamemkasitikia
Hawawezi kuzuia sisi kuendelea na mambo yetu! Kutumia fedha za ndani katika Uchaguzi nu kielelezo kuwa sisi ni Nchi huru!
 
Kwa ukilaza wako unadhani pesa ya umeme vijijini ni ya kwetu???
Wewe unadhani ya nani jinga wewe,
Pesa ni zetu na ndio maana ulisikia siku ila hata raisi alimwambia karemani aonane na waziri pesa itoke umeme uwekwe kwani ulisikia anaomba kwa jirani?
Jitambue
Hii dunia hakuna cha bure
 
Hawawezi kuzuia sisi kuendelea na mambo yetu! Kutumia fedha za ndani katika uchaguzi nu kielelezo kuwa sisi ni Nchi huru!
Kweli,sisi ni nchi huru,yenye uchumi wa kati..

Yenye kuiba kura wakati wa Uchaguzi,yenye kuonea watu wake,kuwanyima Uhuru wa kuamua ...NK

Mkuu,bado hatuko huru,bado hatujitambui, bado hatujaweza kujitawala..
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amserdam ameitaliifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Hafla muhimu zaidi kwa balozi kuhudhuria kuonesha ishara ya urafiki na ushirikiano na serikali iliyoingia madarakani ni ile ya kuhudhuria kuapishwa kwa Rais. Balozi zote zilihudhuria hafla hiyo. Hili la ufunguzi wa Bunge halina kipaumbele kikubwa kidiplomasia
 
Badala ya kunitukana ni vizuri ukanipa majibu ya maswali niliyouliza. Hawa ndo watu wanaochangia bajeti yetu kwa asilimia kubwa sana na kuendesha miradi mingi hapa Tanzania inayotupa ajira na kipato. Kwa iyo ni vizuri ukalichukulia kwa makini hili jambo kuliko kuleta ushabiki maandazi
Achana na watu kama hawa. Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?! Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Usiseme Wazungu,sema Mabeberu!
 
Kwa iyo crime against humanity dhidi ya magufuli na watu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa waliyofanya Zanzibar, Songwe, Mara na Singida ni mambo ya kutunga????

Bwashee, mnataka kuninyang’anya hadi uraia wangu??? Mie nimeuliza swali tu, punguza hasira.
Huyo amejiunga oct 2020. Anajua amejiunga kwa lengo gani. Acha kumpaisha. Just bonyeza ignore
 
Hayo ndio mambo yamelichelewesha bara la Africa kujiamlia mambo yake na kujitegemea!!

Misaada misaada, hata kwangu binafsi siitaki, kubebwa bebwa kumelifanya hata soka letu liwe la hovyo hovyo, tunakuwa na timu nzuri ndani Tu kwa sababu ya kubebwa bebwa tu! Ni wakati wa kuonyesha uwezo wetu sasa bila kuwategemea hao ambao mpaka leo wao wanaliwa na Corona

Tanzania bila wazungu, inawezekana bhana, Isipokuwa, Tanzania bila Mungu, haiwezekani
 
Back
Top Bottom