kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Shida ni kuwa kuna watu wanaodhani bila wao tanzania itaanguka, itakufa, haiwezekani, haitaenda, itapigana, itatengwa, haitajulikana, nk. Huu ni puuzi sawa na upuuzi mwingine tu.CHADEMA achen uoga.......Tanzania ni nchi huru
Nchi itakwenda kwa kupokezana vyama, mwingine akikosea mwingine anarekebisha kama vile Democratics na Republican, labour na conservative, nk