Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Africa akili zetu zimeshikiliwa mahali zinateswa sana . Ndio maana tumekuwa frustrated bila mpangilio yaani nchi nzima tuna stress
 
Wewe unadhani ya nani jinga wewe,
Pesa ni zetu na ndio maana ulisikia siku ila hata raisi alimwambia karemani aonane na waziri pesa itoke umeme uwekwe kwani ulisikia anaomba kwa jirani?
Jitambue
Hii dunia hakuna cha bure
Kwahiyo kwa ujinga wako ulipo sikia rais anamuagiza waziri atoa pesa basi unajua ni pesa za ndani. Hata pesa za wahisani na mikopo huingia ktk bajeti ya serikali wee kibwetele halafu hufanyiwa matumizi.
 
Wameona itapendeza zaidi wasipojichanganya na wale wahuni wa dodoma
 
Utasubiri sana na hio popcorn yako hutapata chochote.

Fanya mambo yako tu.

#PoleniUpinzani

#LoserLissu
mambo gani cement imefika 35000.
jamaa kaanza na wizara ya mambo ya nje,,
ili Kabudi awah kwa mabeberu kupiga magoti apate chochote.
huku tukiaminishw kuw hawafai ni watu wabaya,
 
Hatuwezi kuandikisha ndoa kama ulikua hutoi sadaka....

Hatuwezi kupaka rangi kuta kabla ya kuzijenga kuta.
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Mara nyingi ni vigumu sana kujitambulisha kama ni mtanzania ugegeni kwa jinsi walivyo matumbo,,, hivi hizi porojo ni za watu timamu kweli??
Toeni vidhibiti vya kuibiwa kura au watu kuuwa kama mnavyodai mkijua technology inawasubiri na huo upuuzi
2025 ushindi ni 95% kwani yatakayofanyika katika miaka hii mitano ijayo tutawaruhusuni mlete NEC yote na wasimamizi wa uchaguzi kutoka KENYA, UJERUMANI na Dunia ya kwanza yote mpate kipigo hadi tuwe One Part State
 
Yajayo yanafurahisha
Tutapata shida mimi na wewe, usitegemee viongozi kupata shida, hili jambo la kuchelea hata kidogo, mfano zimbambwe ilipobanwa, unafikiri mgabe alitapata shida kwa mahitaji ya kawaida?, Waliopata shinda ni wazimbambwe wa kawaida waliokua wanapata ration ya petrol
 
Endelea kutumainia wskili mzungu. Unapoteza muda wako tu
 
Wanabodi "uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha" tuijenge Tanzania yetu.
 
A
Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Akili za kitumwa! Wanatulisha, bila wao wote tutakufa! Ilibidi hawa tuwape rasilimali zetu zote, wao watuletee unga na mafuta (USAID)!
Lazima wawepo kwenye sherehe zetu. Tutakufa kama waZimbabwe walivyo kufa wote sababu ya vikwazo! Hakuna mtu Zimbabwe tena. Nani kakwambia! Sababu ya vikwazo waZIM wana akili nyingi kuliko nchi nyingi za kiafrika zinazolishwa na mabeberu sasa.
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Uteuzi wa Kabudi mapema unalenga kuanzisha Mchakato wa kuichomoa Tanzania kuwa nchi mwanachama wa ICC.
 
Bwana Mungu tunayemwabudu , aliyetuponya na Korona pale tulipomwomba, ATAWASHANGAZA MAADUI ZETU KWA MAPIGO ZAIDI YA YALE MAPIGO YA MISRI
 
So nyie mnaoshangilia nchi ikiwekewa vikwazo mnadhani nani atasuffer?
 
Uteuzi wa Kabudi mapema unalenga kuanzisha Mchakato wa kuichomoa Tanzania kuwa nchi mwanachama wa ICC.
Kwani itasaidia nini??? Wao wanachoangalia ni kuwa wakati makosa yanafanyika ulikuwa mwanachama au la!!!
 
mambo gani cement imefika 35000.
jamaa kaanza na wizara ya mambo ya nje,,
ili Kabudi awah kwa mabeberu kupiga magoti apate chochote.
huku tukiaminishw kuw hawafai ni watu wabaya,
Itashuka.

Hio sio mjadala tena.
 
Back
Top Bottom