whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
ππππππ Africa akili zetu zimeshikiliwa mahali zinateswa sana . Ndio maana tumekuwa frustrated bila mpangilio yaani nchi nzima tuna stress
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwa ujinga wako ulipo sikia rais anamuagiza waziri atoa pesa basi unajua ni pesa za ndani. Hata pesa za wahisani na mikopo huingia ktk bajeti ya serikali wee kibwetele halafu hufanyiwa matumizi.Wewe unadhani ya nani jinga wewe,
Pesa ni zetu na ndio maana ulisikia siku ila hata raisi alimwambia karemani aonane na waziri pesa itoke umeme uwekwe kwani ulisikia anaomba kwa jirani?
Jitambue
Hii dunia hakuna cha bure
together bro, s unajua tunatetemeshana online humuπ€£π€£
kwakweli aiseh, pamojaNdio bro na haya faida yake tunaweza tusiione sisi kama sisi lakini ni amini tunafanya jambo la maana mno.
Genge La Wahuni Wachache. π€¨ππππWameona itapendeza zaidi wasipojichanganya na wale wahuni wa dodoma
mambo gani cement imefika 35000.Utasubiri sana na hio popcorn yako hutapata chochote.
Fanya mambo yako tu.
#PoleniUpinzani
#LoserLissu
Mara nyingi ni vigumu sana kujitambulisha kama ni mtanzania ugegeni kwa jinsi walivyo matumbo,,, hivi hizi porojo ni za watu timamu kweli??Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Tutapata shida mimi na wewe, usitegemee viongozi kupata shida, hili jambo la kuchelea hata kidogo, mfano zimbambwe ilipobanwa, unafikiri mgabe alitapata shida kwa mahitaji ya kawaida?, Waliopata shinda ni wazimbambwe wa kawaida waliokua wanapata ration ya petrolYajayo yanafurahisha
Akili za kitumwa! Wanatulisha, bila wao wote tutakufa! Ilibidi hawa tuwape rasilimali zetu zote, wao watuletee unga na mafuta (USAID)!Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Uteuzi wa Kabudi mapema unalenga kuanzisha Mchakato wa kuichomoa Tanzania kuwa nchi mwanachama wa ICC.Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Yeah GWWGenge La Wahuni Wachache. π€¨ππππ
Kwani itasaidia nini??? Wao wanachoangalia ni kuwa wakati makosa yanafanyika ulikuwa mwanachama au la!!!Uteuzi wa Kabudi mapema unalenga kuanzisha Mchakato wa kuichomoa Tanzania kuwa nchi mwanachama wa ICC.
Itashuka.mambo gani cement imefika 35000.
jamaa kaanza na wizara ya mambo ya nje,,
ili Kabudi awah kwa mabeberu kupiga magoti apate chochote.
huku tukiaminishw kuw hawafai ni watu wabaya,