Ulishawahi kufanya arbotion?habari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..
naomba msaada Kujua tatzo ni nn?
And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
Unahitaji kusafishwa kizazi na zingatia hili kwakuwa unaweza kupata ugumbayes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
[emoji17] [emoji17] AsanteUnahitaji kusafishwa kizazi na zingatia hili kwakuwa unaweza kupata ugumba
zaidi ya condom hakunaUnatumia njia yeyote ya uzazi wa mpango??????
[emoji27] [emoji28]yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
Umeanza uzinzi mapema mno, mtu mwenyewe kizazi cha bodaboda 1990s.yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?