Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

lady Jay

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
529
Reaction score
655
habari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..

naomba msaada Kujua tatzo ni nn?

And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
 
Ulishawahi kufanya arbotion?
 
hali hiyo imekutokea kwa wanaume wangapi ?
kutokaa damu katikati ya tendo ni mmoja Ambayo inaambatanisha na maumivu ya uke.

but baada ya tendo bila hata kuskia maumivu damu kutokaa kidgo kama iko diluted kwa mbali ni mmoja pia
 
Ushauri wangu kwako ni nenda hospital ukaonane na wataalamu kuna wale wanaoshughulika na Magonjwa ya kina mama..kama upo Dar mhimbili au Agha khan nenda na kama upo mkoani nenda hospitali za rufaa huwa wanakuwa na wataalamu wazuri kuhusu Magonjwa ya kina mama kama hilo lako
 
maskini pole mi mwanaume en i dont have any experience on that so try to see the specialist humu watakukatisha tamaa tu hawana wanachojua my dear take care
 
Nenda hospitali, kwa daktari wa wanawake...

utasaidiwa...

Mungu akusaidie upone
 
yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
Umeanza uzinzi mapema mno, mtu mwenyewe kizazi cha bodaboda 1990s.

Uvivu na kupenda vya bure mnachokonolewa na mijoka ya kila namna..[emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom