Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
You were suppose to be a mum
Asante sana kwa ushauri wakoUshauri wangu kwako ni nenda hospital ukaonane na wataalamu kuna wale wanaoshughulika na Magonjwa ya kina mama..kama upo Dar mhimbili au Agha khan nenda na kama upo mkoani nenda hospitali za rufaa huwa wanakuwa na wataalamu wazuri kuhusu Magonjwa ya kina mama kama hilo lako
Thankyumaskini pole mi mwanaume en i dont have any experience on that so try to see the specialist humu watakukatisha tamaa tu hawana wanachojua my dear take care
Damn...[emoji16] [emoji16] [emoji16]Umeanza uzinzi mapema mno, mtu mwenyewe kizazi cha bodaboda 1990s.
Uvivu na kupenda vya bure mnachokonolewa na mijoka ya kila namna..[emoji41] [emoji41]
Thankyu dear..yap huyu mpnz wng wa saiv ndo ananiumiza though tumefanya Mara moja tu ila Ana maumbile makubwa mnoPole lady Jay
Au shemeji ana maumbile makubwa?
Ila kama wadau walivyo shauri nenda kwa dr. Bingwa wa akina mama.
Kuna vipimo vikiwepo kucheck kama una UTI au yeast infection.
i know and i regret but i was not ready..sometimes unachukua maamuzi magumu bila kupenda so u dont have to laugh at me..You were suppose to be a mum
Pole sana.Thankyu dear..yap huyu mpnz wng wa saiv ndo ananiumiza though tumefanya Mara moja tu ila Ana maumbile makubwa mno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Aiseeee..[emoji15] [emoji15]Thankyu dear..yap huyu mpnz wng wa saiv ndo ananiumiza though tumefanya Mara moja tu ila Ana maumbile makubwa mno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
mkuu kuna watu wanajiona miungu humu ila malipo yao ni hapa hapa dunianiDamn...[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nina mtoto wa kike, hakika siwezi beza kwenye mambo kama hizi
Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
hivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.