Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

Pole lady Jay

Au shemeji ana maumbile makubwa?

Ila kama wadau walivyo shauri nenda kwa dr. Bingwa wa akina mama.

Kuna vipimo vikiwepo kucheck kama una UTI au yeast infection.
 
Ushauri wangu kwako ni nenda hospital ukaonane na wataalamu kuna wale wanaoshughulika na Magonjwa ya kina mama..kama upo Dar mhimbili au Agha khan nenda na kama upo mkoani nenda hospitali za rufaa huwa wanakuwa na wataalamu wazuri kuhusu Magonjwa ya kina mama kama hilo lako
Asante sana kwa ushauri wako

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Pole lady Jay

Au shemeji ana maumbile makubwa?

Ila kama wadau walivyo shauri nenda kwa dr. Bingwa wa akina mama.

Kuna vipimo vikiwepo kucheck kama una UTI au yeast infection.
Thankyu dear..yap huyu mpnz wng wa saiv ndo ananiumiza though tumefanya Mara moja tu ila Ana maumbile makubwa mno

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
yes.once..nilitumia vidonge nimesahau jina lake niliingiza ukeni but niliumia sana tumbo na najuta ctokuja Kurudia.but ilikua 2013.so any help?
Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.
 
Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.
hivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.
remember u have sisters if not daughters na kama hauna ipo siku utawapata and the same shit can happen to them.##tuzikwazane
 
Back
Top Bottom