Huyu Dr nae akili zake chenga, unamsaidiaje mwanamke atoe mimba.!!! Kwani hakujua baada ya sex kitakachotokea ni nini?Alitumia njia ya vidonge alimeza na kupachika ukeni, alishazaa mtoto mmoja, alifanya hivo ikiwa Ijumaa halafu Jumapili akaanza kutumia ampclox na metronidazole kwa kufuata ushauri wa doctor.
Hiii kweli sabb hiyo mimba ni kama ina wiki mbili katumia miso nkifananisha mie nilkuwa mjamzito miezi saba mwanangu Alifia tumboni niliwekeam miso vidonge viwili tu nkaumwa uchungu three 3hrs akatoa 1.8kgs najaribu kuwaza duuuuuu vinaogopeshaKama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muache
Safi sana mkuu. Kwenye siasa kule ndiko unakoharibu sana!Kimbilia hospitali haraka sana Maana ataweza kufa na infection walahi
Kutoa mimba ni laana kuu, tegemea kichapo kutoka kwa MUUMBAJI SOON AND VERY SOON WALAHI
Duh
Mnasikitisha sana
Kwa tendo mlilolifanya.. mkatubu
Mna mtoto halafu mnaua labda hamtaki mtoto mwingine.. ombea yapite salama au ndio imetoka hiyooo..
Nendeni hospitali FULL STOP
Ultra sound inahusu haswaaa pia
Kimbilia hospitali haraka sana Maana ataweza kufa na infection walahi
Kutoa mimba ni laana kuu, tegemea kichapo kutoka kwa MUUMBAJI SOON AND VERY SOON WALAHI
Kutoa mimba kienyeji huko ni.hatari kwa afya ya mtolewaji... hosp zipo hiyo ndo kazi yao.... kaongee na dr kikubwa andaa hela ndefu tu. Atasafishwa kizazi basi..Kwenye hiyo pharmacy wanachukua hadi vipimo yaani watu wanatibiwa hapo na huyo aliyemuattend ndo doctor wa hapo.
Sio kwel maombi yako mwenyewe yananguvu kuliko mtu mwengine akuombeeUmri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
Sio siri mkuu, nimesoma mada yako huku mwili unatetemeka.Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
Yeah inaweza septic abortion ikaleta shida kubwa.Sasa kama hata uhakika wa ukubwa wa Mimba huna uhakika nao?
Utajuaje kama njia uliyotumia ilikuwa sahihi?
Itakupasa umpeleke hospital kumsafisha na kuchukua vipimo vya damu asije kupata infection itakayo mgharimu maishani mwake.
Next time muwe makini....