Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

Alitumia njia ya vidonge alimeza na kupachika ukeni, alishazaa mtoto mmoja, alifanya hivo ikiwa Ijumaa halafu Jumapili akaanza kutumia ampclox na metronidazole kwa kufuata ushauri wa doctor.
Huyu Dr nae akili zake chenga, unamsaidiaje mwanamke atoe mimba.!!! Kwani hakujua baada ya sex kitakachotokea ni nini?
 
Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muache
Hiii kweli sabb hiyo mimba ni kama ina wiki mbili katumia miso nkifananisha mie nilkuwa mjamzito miezi saba mwanangu Alifia tumboni niliwekeam miso vidonge viwili tu nkaumwa uchungu three 3hrs akatoa 1.8kgs najaribu kuwaza duuuuuu vinaogopesha

Aende tu akasafishwe maana inaonekana kuna uchafu haujatoka bado
 
Kimbilia hospitali haraka sana Maana ataweza kufa na infection walahi
Kutoa mimba ni laana kuu, tegemea kichapo kutoka kwa MUUMBAJI SOON AND VERY SOON WALAHI
Safi sana mkuu. Kwenye siasa kule ndiko unakoharibu sana!
 
Duh
Mnasikitisha sana
Kwa tendo mlilolifanya.. mkatubu

Mna mtoto halafu mnaua labda hamtaki mtoto mwingine.. ombea yapite salama au ndio imetoka hiyooo..

Nendeni hospitali FULL STOP
Ultra sound inahusu haswaaa pia

Dah kumbe Mungu nanyi huwa mnamuogopa!?

Cc ISIS
 
Waafrika tuna safari ndefu sana ya kuendelea..Huvi tulimkosea nini Mungu? Bleak comments uttered in here[emoji1495][emoji1495][emoji1495][emoji1495]
 
Umenena vyema dear.
Kimbilia hospitali haraka sana Maana ataweza kufa na infection walahi
Kutoa mimba ni laana kuu, tegemea kichapo kutoka kwa MUUMBAJI SOON AND VERY SOON WALAHI
 
Nilichosikitika zaidi kupitia huu uzi nimebaini wasichana/wanawake watoa mimba/waliowahi kutoa mimba. Inasikitisha..
 
Kwenye hiyo pharmacy wanachukua hadi vipimo yaani watu wanatibiwa hapo na huyo aliyemuattend ndo doctor wa hapo.
Kutoa mimba kienyeji huko ni.hatari kwa afya ya mtolewaji... hosp zipo hiyo ndo kazi yao.... kaongee na dr kikubwa andaa hela ndefu tu. Atasafishwa kizazi basi..
NB: msiwe mnasex bila uhakika wa danger zone muwe makin na issue za uzazi..
Pia usidanganyike kuchukua dawa tena pharmacy utapata kesi ya mauaji ujue.
 
Umri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
Sio kwel maombi yako mwenyewe yananguvu kuliko mtu mwengine akuombee
 
Kitendo cha kuendelea kutokwa damu baada ya kutoa ujauzito ni dalili ya wazi kabisa kuwa mimba haijatoka yote (Incomplete abortion)..
Hivyo unatakiwa umpeleke hosp. ili aweze kusafishwa kwa njia sahihi itakayopendekezwa ( Hospital inayoeleweka, sio kwenye vimaabara vya mitaani) ili kuzuia maambukizi ambayo yanaweza kumletea shida baadaye.

Misoprostol imetengezwa na kuelekezwa kwenye matibabu ya vidonda vya tumbo + kuzuia kutokwa na damu kwa mama aliyejifungua na si vinginevyo, lakini vimegeuzwa na kubeba majukumu makubwa ya abortion.



ANGALIZO. Bila shaka katumia Misoprostol (Miso), ama jamii zake...Vidonge hivi hufanya kuta za uzazi zisinyae hivyo kupelekea kutoka kwa ujauzito...
Kama ni kosa limeshafanyika hivyo mshauri asirudie kosa, matumizi ya mara kwa mara ya Miso hupelekea kuta kushindwa kuhimili ujauzito hivyo kila anapokuwa akibeba mimba ukifika ule umri ambao kazoea kuabort mimba inatoka yenyewe pasipo mikiki mikiki..


*Mwisho wa siku mtatafuta wachawi*
 
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
Sio siri mkuu, nimesoma mada yako huku mwili unatetemeka.
 
SIKILIZA UKIWA NA PESA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA.. NENDA HOSP MPE DOKTA KIASI CHA HELA ATAKACHO NA MTAHUDUMIWA SAFI KABISA YATAISHIA HOSP HAYO YOTE... ...
NAKUSISITIZA WAKATI MWINGINE MUWA MAKINI KTK HILO..
watu wanakuchamba au kukusema ovyo ila ndo hao wanakataa watu waliozaa nje ya ndoa. Hiyo bahat mbaya tu ila yatapita hayo. Usiogope..
Mkipona mkatoe sadaka kama muislamu msikitin na kama mkristo kanisani..
 
Sasa kama hata uhakika wa ukubwa wa Mimba huna uhakika nao?
Utajuaje kama njia uliyotumia ilikuwa sahihi?

Itakupasa umpeleke hospital kumsafisha na kuchukua vipimo vya damu asije kupata infection itakayo mgharimu maishani mwake.

Next time muwe makini....
Yeah inaweza septic abortion ikaleta shida kubwa.
 
Back
Top Bottom