Tuko field porini, rafiki yangu anatokwa na damu wakati wa kukojoa na wakati wa haja kubwa. Tumekwenda kwenye kituo cha afya wamechukua sample ya damu na wanasema majibu mpaka saa 12 jioni, na amechomwa sindano ya kutuliza maumivu. Naogopa kwa sababu kadiri muda unavyokwenda ndivyo jamaa yangu anazidi kunyong'onyea hasa wakati wa kwenda haja ndogo anaishiwa nguvu na anajisikia kama mwili wote unawaka moto. Kwa sasa tunafanya mawasiliano ili apelekwe kwenye hospitali kubwa. Naomba ushauri tafadhali

Pole sana.
Lakini kusubirishwa majibu mpaka saa kumi nambili jioni ni kama vile hao madaktari wanataka 'kitu kidogo'.
Wapatie tu mjomba ili angalau upate majibu saa 6 mchana
Mpe pole sana mgonjwa.............jitahidini kumpa first aid wakati mnasubiri majibu ya dokta...
by the way uko porini mnapata wapi hospitali kubwa?
Nashukuru, tunajitahidi kufanya tunaloweza ili apate nafuu, wasiwasi wangu ni kuwa pamoja na sindano alizochomwa hali inazidi kuwa mbaya with time...na kikubwa kilichofanya ni post hapa ni aina ya ugonjwa wenyewe ni kama wa ajabu hivi..naogopa. Tupo kwenye kituo cha afya siyo hospitali kubwa..wakati tunasubiri majibu tunafanya mawasiliano ili tuweze kufika Dar haraka.
Ushauri gani zaidi ya kusubiri matokea ya vipimo au kumpeleka hospitali kubwa.
Unajua amefanya kipimo gani? Kama hujui acha kumpotosha na kuchochea utoaji wa RUSHWA. Kuna vipimo ambavyo huchukua hata wiki.
Ingia PM nitakusaidia, utasahau tatizo hilo.Naomben msaada kuna siku nilipata choo kigumu nikapata maumivi nahisi nilichanika sasa tangia hapo nikienda haja kubwa lazma nitokwe na damu hata kama sio choo kigumu nilinunua dawa inaitwa anusol ila bado msaada wenu naomba.
Naomben msaada kuna siku nilipata choo kigumu nikapata maumivi nahisi nilichanika sasa tangia hapo nikienda haja kubwa lazma nitokwe na damu hata kama sio choo kigumu nilinunua dawa inaitwa anusol ila bado msaada wenu naomba.
Jaribu kwenda medical center..inawezekana ni kichocho