Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegusia Bile salts/pigments hapo nimependa kweli.Asante sana mkuu, nilitaka nianzishe thread juu ya hili, ninaomba nidandie thread yako
Haja kubwa hutokana na chakula tunachokula, haja ya rangi ya brown au kijani ni ya kawaida, na wingi wa nyongo kijani au njano inayosaidia katika usagaji wa chakula tumboni. Utumiaji wa dawa pia unaweza kubadilisha rangi ya choo, dawa za kuongeza damu hufanya choo kiwe na rangi nyeusi.
Tumia macho yako vizuri.Unakagua kwa kutumia ninj mkuu? Darubuni si gharama sana
Asante mkuuChoo kuganda wakati wa kuflashi inamaanisha kina mafuta ila haimaanishi umekula vyakula vyenye mafuta mengi inatokana na kutokuwepo kwa bile salt inayo facilitates digestion and absorption of fat ,
Obstruction ktk bile duct hupelekea mtu kuvuja damu kwasabu bile salt haipo Ku process vyakula vya fat au mafuta hivyo kuna fat soluble vitamins kama vitamin A,D,E and K ambazo ili zifyonzwe kutoka kwenye chakula ulichokula kunahitajika bile salt na
hyo vit amin k ni muhimu katka ugandaj wa damu pale unapoumia nk.
Asante.
HahahahahhaaaKwani nini wakati mwingine huwa kinaelea na wakati mwingine kinazama ndani ya maji pale chini ya bowl ya choo? Nini husababisha?
Hahahahahhaaa
Umenifurahisha na swali lako.
Ngoja nikuitie watabe wa physics waje watoe jibu mubashaha.
Deadbody pita huku
Uzi upo makini lakini swali lako lipo nje ya mada hii, ndio maana nimekuitia huyo mtu atakujibu maana umeuliza kuhusu kitu kuelea na kuzama kwenye maji.Nilidhani hii thread ni serious
Uzi upo makini lakini swali lako lipo nje ya mada hii, ndio maana nimekuitia huyo mtu atakujibu maana umeuliza kukusu kitu kuelea na kuzama kwenye maji.