Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaja kwenye hii mada kubishana na wewe.Niliweka tu jibu langu hivyo naomba tuishie hapoSijaulizia approach lakini. Anyway tuachane na hio habari. Haitupeleki popote.
Mara moja kwa mwezi sio mbaya, itakusaidia kujua hali halisi ya jifi lako [emoji1][emoji1][emoji1]Aah mambo gani hayo unasikilizia utamu wa kukata gogo hapohapo uko bize una potcry rangi ya gogo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unakumbuka nilisema choo hutokana na chakula unachokula? Guinness ni stout beer inatengenezwa na roasted malted barley sawa na roasted coffee beansKwanini ukinywa bia ya guiness choo nacho kinakua cheusi??
Mkuu unapanic bure. Penye wengi tarajia lolote. Na ktk kujifunza usitaraji kujibiwa unavyowaza ww.Kwa hiyo wewe kinyesi kuelea ama kuzama katika maji ni kitu cha kucheka hahahahaaa? Mimi nilidhani ni tatito la kiafya ambalo wataalamu wangeweza kulifafanua hapa.
Anyway kwa miaka 12 niliyodumu humu nimegundua kila Mtanzania ni mtaalamu wa kila kitu na tuna dharau na roho mbaya sana.
Naomba huu mjadala uishe nitatafuta ufafanuzi kwenye fora zingine ama watu wengine.
Mkuu unapanic bure. Penye wengi tarajia lolote. Na ktk kujifunza usitaraji kujibiwa unavyowaza ww.
U aweza umauliza swali au ukachangia mada kwa nia njema lkn ukajibiwa ukaonekana umekurupuka au viginevyo lkn hatukimbii. So kuwa mpole
Kunya pembeniSisi tunao tumia vyoo vya shimo ambavyo havina masimki tutaangliaje
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kunya pembeni
Apply Archimedes principleKwani nini wakati mwingine huwa kinaelea na wakati mwingine kinazama ndani ya maji pale chini ya bowl ya choo? Nini husababisha?
Ukiwa hauja pona na hizo tibaza hospitali nione mimi nipate kukupa dawa zangu utumie siku 21 upone hivyo vidonda vyako vya tumbo. Ukihitaji tiba toka kwangu ,Nilifanya hivyo kwa bahati mbaya mwezi uliopita. Sikuwa na mazoea hayo basi kabla ya kuflash nikachungulia nikaona matone ya damu. Kuwahi kwa Doctor na checkup nikapata nina ulcers. Naendelea na tiba. Tuwe na tabia ya kukagua iamani.
safi,sana..vp,tatizo..la,kutoka..damu..karibu,kila..wakati..ikiwa..chakula..natumia,nilichoshauriwa..na..daktari,na..pia..nakunywa..maji..mengi,lakini..kila..mara..choo,kinakuwa..kigumu..na..damu..hutoka.shida..nini?Asante sana mkuu, nilitaka nianzishe thread juu ya hili, ninaomba nidandie thread yako
Haja kubwa hutokana na chakula tunachokula, haja ya rangi ya brown au kijani ni ya kawaida, na wingi wa nyongo kijani au njano inayosaidia katika usagaji wa chakula tumboni. Utumiaji wa dawa pia unaweza kubadilisha rangi ya choo, dawa za kuongeza damu hufanya choo kiwe na rangi nyeusi.
Kwa wale wanaotumia vyoo vya ku flush , unaweza kukuta mzigo unagoma kwenda. Hii ni dalili ya kuwa choo kina mafuta mengi, kutokana na kula mavyakula yenye mafuta mengi. Choo cha kawaida hakina kawaida ya kuganda kama glue.
75% ya haja ni maji, 25% ni waste products, kumbuka kunywa maji kuepuka choo kigumu au kutokupata choo.
Duuh! mkuu wapi kagusia darubini,au ndiyo kujiongeza kwenyewe,kweli akili tunatofautiana.Unakagua kwa kutumia ninj mkuu? Darubuni si gharama sana
Kuna sababu nyingi za choo kuwa na damu, inawezekana ikawa kama maduka alivyosema, vidonda vya tumbo au matatizo kwenye utumbo mkubwa ikiwemo cancersafi,sana..vp,tatizo..la,kutoka..damu..karibu,kila..wakati..ikiwa..chakula..natumia,nilichoshauriwa..na..daktari,na..pia..nakunywa..maji..mengi,lakini..kila..mara..choo,kinakuwa..kigumu..na..damu..hutoka.shida..nini?
Asante sana skySamahani mkuu, choo kinaelea kwasababu
1. Kuna gas nyingi
2. Dalili za infection Tumboni
3. Mwili hauja absorb nutrients zote kwenye chakula na hii unamaana kuna tatizo tumboni na ikiendelea hali hii unaanza kukonda.