stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Uko sahihi sana,mimi ninavifuatilia sana hivi vitu na imenisaidia kwa kiwango kikubwa kuwa nawahi matibabu...Kuna vitu vingi vidogo vidogo tunajisahau kuvichungua lakini ni muhimu sana kwa afya zetu kwa mfano
1.Kudisa/kudinda kama imepita muda hujapata ile morning erection basi kuna tatizo
2.Rangi ya mkojo
3.Rangi ya haja kubwa, ukubwa, harufu, rangi, ugumu, ulaini au hata mara ngapi unapata haja kubwa
4.Kiu
5.Njaa na hamu ya kula
6 Usingizi
7.Hamu ya Jimai
8.Kutokwa au kutotokwa na jasho
Hivi vyote vinaongea mengi kuhusu afya zetu kama tutavifuatilia kwa makini