Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

Kivipi lipo nje ya mada ndugu yangu?
Mada inazungumzia kupata choo/haja kubwa yenye ama damu, ngumu, rangi ya kijani au njano ambapo inaashiria kuna tatizo la kiafya kama walivyofafanua watu hapo kwenye posts za juu,.

Wewe ulichokiliza ni tofauti na nilichokutajia hapa, hivyo ndivyo nilivyolielewa swali lako
Ama umeamua kunidharau tu?

Sijakudharau, ndio maana nimekupa ufafanuzi jinsi nilivyoelewa swali lako.

Kama nimeelewa tofauti naomba unieleweshe vizuri.
 
Kwa hiyo wewe kinyesi kuelea ama kuzama katika maji ni kitu cha kucheka hahahahaaa? Mimi nilidhani ni tatito la kiafya ambalo wataalamu wangeweza kulifafanua hapa.

Anyway kwa miaka 12 niliyodumu humu nimegundua kila Mtanzania ni mtaalamu wa kila kitu na tuna dharau na roho mbaya sana.

Naomba huu mjadala uishe nitatafuta ufafanuzi kwenye fora zingine ama watu wengine.
 
Kwani nini wakati mwingine huwa kinaelea na wakati mwingine kinazama ndani ya maji pale chini ya bowl ya choo? Nini husababisha?
Mkuu kwetu sisi hatuna choo cha kuflash na kwa mara ya kwanza nilikikutia chuo hahah ila swali lako hata sisi ambao wa choo cha kulenga na tunajua physics tunaweza jibu vizuri sana

Kwanza swala la kinyeshi kuzama na kuelea ni PHYSICS hapo imetumika..kunapotokea vitu viwili vimewekwa pamoja mfano maji na kinyesi basi hapo kile chenye density ndogo kitakuwa juu ya chenye density kubwa ..

Mkuu kinyesi hicho hicho kwa maji yale yale hakiwezi mda mwingine kuelea na mda mwingine kuzama.Kitafanya kimoja wapo kati ya hivyo na sio kwa kubadilishana kama ulivyosema..

Sasa swali linakuja hapa je unajua density ni nini?

Kama unajua ndio inakuwa rahisi mimi kuendelea ila kama hujui nikupe facts kidogo tu kuwa uzito wa kitu ukigawanya na nafasi iliyochukua ndio density hiyoooo...

Sasas kinyesi kikielea maana yake kina density ndogo na kikizama maana kina density kubwa ....Ukiona leo kimezama na kesho kimeelewa basi ujue kinyesi ulishoa jana kilikuwa si cha kitoto.....Hiko nakifananisha na kinyesi cha wanafunzi wanaosoma tuition mchikichini kwa jinsi kilivyo kidogo lakini kizito kuliko kile cha UDSM ambayo dogo aliyekula samaki samaki akatema kinyesi kidogo ila kwa sababau hana marinda kikachukua eneo kubwa (Hapa natania tu msije ndio nikafuguliwa threads humu)..

Ni hayo tu!
 
Choo kuganda wakati wa kuflashi inamaanisha kina mafuta ila haimaanishi umekula vyakula vyenye mafuta mengi inatokana na kutokuwepo kwa bile salt inayo facilitates digestion and absorption of fat ,
Obstruction ktk bile duct hupelekea mtu kuvuja damu kwasabu bile salt haipo Ku process vyakula vya fat au mafuta hivyo kuna fat soluble vitamins kama vitamin A,D,E and K ambazo ili zifyonzwe kutoka kwenye chakula ulichokula kunahitajika bile salt na
hyo vit amin k ni muhimu katka ugandaj wa damu pale unapoumia nk.
Asante.
Kuna mwingine anasema hua haja inatoka na damu mara nyingine anakaa hata miezi 5 haitok tena, tena inaanza....anasema ni kama inahusiana na yeye kutoa kinyesi kigumu na kama vile hua anakipele kwenye puru ndo kinatoa damu. Hii nayo inazungumziwaje kitaalam kama unauelewa wa haya mambo...
 
Mkuu kwetu sisi hatuna choo cha kuflash na kwa mara ya kwanza nilikikutia chuo hahah ila swali lako hata sisi ambao wa choo cha kulenga na tunajua physics tunaweza jibu vizuri sana

Kwanza swala la kinyeshi kuzama na kuelea ni PHYSICS hapo imetumika..kunapotokea vitu viwili vimewekwa pamoja mfano maji na kinyesi basi hapo kile chenye density ndogo kitakuwa juu ya chenye density kubwa ..

Mkuu kinyesi hicho hicho kwa maji yale yale hakiwezi mda mwingine kuelea na mda mwingine kuzama.Kitafanya kimoja wapo kati ya hivyo na sio kwa kubadilishana kama ulivyosema..

Sasa swali linakuja hapa je unajua density ni nini?

Kama unajua ndio inakuwa rahisi mimi kuendelea ila kama hujui nikupe facts kidogo tu kuwa uzito wa kitu ukigawanya na nafasi iliyochukua ndio density hiyoooo...

Sasas kinyesi kikielea maana yake kina density ndogo na kikizama maana kina density kubwa ....Ukiona leo kimezama na kesho kimeelewa basi ujue kinyesi ulishoa jana kilikuwa si cha kitoto.....Hiko nakifananisha na kinyesi cha wanafunzi wanaosoma tuition mchikichini kwa jinsi kilivyo kidogo lakini kizito kuliko kile cha UDSM ambayo dogo aliyekula samaki samaki akatema kinyesi kidogo ila kwa sababau hana marinda kikachukua eneo kubwa (Hapa natania tu msije ndio nikafuguliwa threads humu)..

Ni hayo tu!

Aisee mimi nataka opinion ya kitabibu na sio kifizikia. Density nimeisoma sana pengine kuliko ulivyojaribu kuielezea. Asante kwa kujaribu anyway.
 
Kwa hiyo wewe kinyesi kuelea ama kuzama katika maji ni kitu cha kucheka hahahahaaa? Mimi nilidhani ni tatito la kiafya ambalo wataalamu wangeweza kulifafanua hapa.

Anyway kwa miaka 12 niliyodumu humu nimegundua kila Mtanzanzania ni.mtaalamu wa kila kitu na tuna dharau na roho mbaya sana.

Naomba huu mjadala uishe nitatafuta ufafanuzi kwenye fora ama watu wengine.
Mkuu nasikitika sana kuwa umedhani nimekudharau kisa nimecheka juu ya ulichouliza, baada ya kuonesha kicheka niliambatanisha na neno ''umenifurahisha" jambo ambalo kwa tafsiri ya kawaida kulingana na mimi nilivyomaanisha sijakudharau, ndio maana nilijua swali lako linalenga kitu gani na nikakuitia mtu wa kutoa ufafanuzi.

Wewe ni muhenga wa humu na nakuheshimu sana, tangu nijiunge hapa JF mwaka jana sijawahi kukukwaza.

Naomba unisamehe na niwie radhi sana kwa kukukwaza.

NB: Nipo kwenye Masuala ya Afya pia, sijawahi kusikia juu ya ulichokihoji kwenye kufanya Diagnosis kwa kutumia haja kubwa kwa kigezo cha kuelea au kuzama kwenye maji.

Nashukuru umenipa jambo la kulifanyia kazi nitafuatilia uhakika zaidi.
 
Aisee mimi nataka opinion ya kitabibu na sio kifizikia. Density nimeisoma sana pengine kuliko ulivyojaribu kuielezea. Asante kwa kujaribu anyway.
Hakuna approach ya kitabibu inayoweza kujibu wakati hiyo ni nature na physics deals with nature
 
Sisi tunao tumia vyoo vya shimo ambavyo havina masimki tutaangliaje
 
Damu kutoka sehemu ya haja kubwa
Kuna vitu vya muhimu kuviuliza
Anatoa damu au kinyesi kilichochanganyikana na damu?
Kuna mwingine akipata haja kubwa mwisho inatokana damu,mwingine damu inaanza ikifuatiwa na kinyesi ?
Haya ni maswali atayoulizwa kuhusiana na tatizo hilo?
Kabla ya haya yoote
Lazima tujue umri wa mgonjwa kwasabu
Hatutegemei kuona kitu fulani katka umri fulani, mfana cancer (colorectal carcinoma) , pia lazima afanyiwe DRE(Digital Rectal Examination)
Kuna hemorrhoids (internal and external)
Ushauri ni kwenda hospitalin tuu huwez tibiwa this way
Nadhani hivi vichache nilivyoandika vinaonyesha umuhimu wa dr kumuona mgonjwa na kumuuliza na kumfanyia vipimo stahiki
Asanteni!
Imejitosheleza mkuu
 
Kwani nini wakati mwingine huwa kinaelea na wakati mwingine kinazama ndani ya maji pale chini ya bowl ya choo? Nini husababisha?
Samahani mkuu, choo kinaelea kwasababu
1. Kuna gas nyingi
2. Dalili za infection Tumboni
3. Mwili hauja absorb nutrients zote kwenye chakula na hii unamaana kuna tatizo tumboni na ikiendelea hali hii unaanza kukonda.
 
Samahani mkuu, choo kinaelea kwasababu
1. Kuna gas nyingi
2. Dalili za infection Tumaini
3. Mwili hauja absorb nutrients zote kwenye chakula na hii unamaana kuna tatizo tumboni na ikiendelea hali hiibutaanza kukonda.

Asante sana rafiki. Mimi ni diabetic na huwa na observe sana haya mabadiliko yakijitokeza. Yalikuwa yananipa mshangao kidogo.
 
Back
Top Bottom