Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

Habari zenu jamani mwenye kujua hili tatizo aniambie, leo siku ya tatu nikienda kujisaidia aja kubwa mara baada ya kumaliza damu zinaanza kutoa kwa muda ule ambao nipo chooni, zinatoka utafikiri nimejikata, tatizo linaweza kuwa nini mnisaidie.
Imenitokea sana na bado inaendelea,,Mara ya kwanza nlichanganyikiwa bahati nzur naishi na nesi nyumba moja ilibidi nimqite chooni na mke wang waje waone zigo lililotoka.mpka Leo ni mwaka wa pili cjaenda hospital wala wapi .bado inatoka tu,nldhani in kqasababu ya pilipili lkn lah.
 
Fanya uende hospital pia
 
Nenda hospital ni kawaida ukishapata amiba na akakomaa
 
  • Thanks
Reactions: M12
Imenitokea sana na bado inaendelea,,Mara ya kwanza nlichanganyikiwa bahati nzur naishi na nesi nyumba moja ilibidi nimqite chooni na mke wang waje waone zigo lililotoka.mpka Leo ni mwaka wa pili cjaenda hospital wala wapi .bado inatoka tu,nldhani in kqasababu ya pilipili lkn lah.

Sometimes huwa ni dalili ya Kansa.
 
Habari zenu jamani mwenye kujua hili tatizo aniambie, leo siku ya tatu nikienda kujisaidia aja kubwa mara baada ya kumaliza damu zinaanza kutoa kwa muda ule ambao nipo chooni, zinatoka utafikiri nimejikata, tatizo linaweza kuwa nini mnisaidie.
Pole ni tatizo ambalo huwapata wengi sana ila sio kwamba halitibiki cha kufanya kula matunda kwa wingi sana hasa papai na parachichi na ndizi kulainisha choo unaweza pata tinidazole pia na mboga za majani kwa wingi baada ya siku 3 mpk 5 litakua limeisha pole sana
 
Mi mara moja moja sanaa, hunitokea hyo kitu. Sometimes mpk nasahau
 
Nenda hospital mkuu kwa uchunguzi zaidi!

Hyo n moja ya dalili za Bawasiri
 
  • Thanks
Reactions: M12
Habari zenu jamani mwenye kujua hili tatizo aniambie, leo siku ya tatu nikienda kujisaidia aja kubwa mara baada ya kumaliza damu zinaanza kutoa kwa muda ule ambao nipo chooni, zinatoka utafikiri nimejikata, tatizo linaweza kuwa nini mnisaidie.
Ndugu, unapata damu siku3 hujaenda hospitali asee.Fika hospitali haraka
 
Habari zenu jamani mwenye kujua hili tatizo aniambie, leo siku ya tatu nikienda kujisaidia aja kubwa mara baada ya kumaliza damu zinaanza kutoa kwa muda ule ambao nipo chooni, zinatoka utafikiri nimejikata, tatizo linaweza kuwa nini mnisaidie.
Hilo tatizo kitaalamu huitwa bawasiri,usababishwa na kiuvimbe katika njia. Ya haja kubwa,kwa iyo unapopata haja asa asa ikiwa ngumu hukwaruza kauvimbe ako n utoa damu,tiba kunywa maji mengi na mboga za majani kwa wingi
 
Back
Top Bottom