Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

Kwanini ukinywa bia ya guiness choo nacho kinakua cheusi??
 
Aah mambo gani hayo unasikilizia utamu wa kukata gogo hapohapo uko bize una potcry rangi ya gogo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mara moja kwa mwezi sio mbaya, itakusaidia kujua hali halisi ya jifi lako [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwanini ukinywa bia ya guiness choo nacho kinakua cheusi??
Unakumbuka nilisema choo hutokana na chakula unachokula? Guinness ni stout beer inatengenezwa na roasted malted barley sawa na roasted coffee beans
 
Wale wa chupa ndefu aina ya Castle Milk na yenyewe inabadilisha kitu..
 
Kuna vitu vingi vidogo vidogo tunajisahau kuvichungua lakini ni muhimu sana kwa afya zetu kwa mfano
1.Kudisa/kudinda kama imepita muda hujapata ile morning erection basi kuna tatizo
2.Rangi ya mkojo
3.Rangi ya haja kubwa, ukubwa, harufu, rangi, ugumu, ulaini au hata mara ngapi unapata haja kubwa
4.Kiu
5.Njaa na hamu ya kula
6 Usingizi
7.Hamu ya Jimai
8.Kutokwa au kutotokwa na jasho
Hivi vyote vinaongea mengi kuhusu afya zetu kama tutavifuatilia kwa makini
 
Kwa hiyo wewe kinyesi kuelea ama kuzama katika maji ni kitu cha kucheka hahahahaaa? Mimi nilidhani ni tatito la kiafya ambalo wataalamu wangeweza kulifafanua hapa.

Anyway kwa miaka 12 niliyodumu humu nimegundua kila Mtanzania ni mtaalamu wa kila kitu na tuna dharau na roho mbaya sana.

Naomba huu mjadala uishe nitatafuta ufafanuzi kwenye fora zingine ama watu wengine.
Mkuu unapanic bure. Penye wengi tarajia lolote. Na ktk kujifunza usitaraji kujibiwa unavyowaza ww.
U aweza umauliza swali au ukachangia mada kwa nia njema lkn ukajibiwa ukaonekana umekurupuka au viginevyo lkn hatukimbii. So kuwa mpole
 
Mtoa mada asante.

Kupitia comments za wadau nimejifunza vitu
 
Mkuu unapanic bure. Penye wengi tarajia lolote. Na ktk kujifunza usitaraji kujibiwa unavyowaza ww.
U aweza umauliza swali au ukachangia mada kwa nia njema lkn ukajibiwa ukaonekana umekurupuka au viginevyo lkn hatukimbii. So kuwa mpole


Unajua maana ya kupanic lakini?
 
Nilifanya hivyo kwa bahati mbaya mwezi uliopita. Sikuwa na mazoea hayo basi kabla ya kuflash nikachungulia nikaona matone ya damu. Kuwahi kwa Doctor na checkup nikapata nina ulcers. Naendelea na tiba. Tuwe na tabia ya kukagua iamani.
Ukiwa hauja pona na hizo tibaza hospitali nione mimi nipate kukupa dawa zangu utumie siku 21 upone hivyo vidonda vyako vya tumbo. Ukihitaji tiba toka kwangu ,
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Asante sana mkuu, nilitaka nianzishe thread juu ya hili, ninaomba nidandie thread yako

Haja kubwa hutokana na chakula tunachokula, haja ya rangi ya brown au kijani ni ya kawaida, na wingi wa nyongo kijani au njano inayosaidia katika usagaji wa chakula tumboni. Utumiaji wa dawa pia unaweza kubadilisha rangi ya choo, dawa za kuongeza damu hufanya choo kiwe na rangi nyeusi.

Kwa wale wanaotumia vyoo vya ku flush , unaweza kukuta mzigo unagoma kwenda. Hii ni dalili ya kuwa choo kina mafuta mengi, kutokana na kula mavyakula yenye mafuta mengi. Choo cha kawaida hakina kawaida ya kuganda kama glue.

75% ya haja ni maji, 25% ni waste products, kumbuka kunywa maji kuepuka choo kigumu au kutokupata choo.
safi,sana..vp,tatizo..la,kutoka..damu..karibu,kila..wakati..ikiwa..chakula..natumia,nilichoshauriwa..na..daktari,na..pia..nakunywa..maji..mengi,lakini..kila..mara..choo,kinakuwa..kigumu..na..damu..hutoka.shida..nini?
 
safi,sana..vp,tatizo..la,kutoka..damu..karibu,kila..wakati..ikiwa..chakula..natumia,nilichoshauriwa..na..daktari,na..pia..nakunywa..maji..mengi,lakini..kila..mara..choo,kinakuwa..kigumu..na..damu..hutoka.shida..nini?
Kuna sababu nyingi za choo kuwa na damu, inawezekana ikawa kama maduka alivyosema, vidonda vya tumbo au matatizo kwenye utumbo mkubwa ikiwemo cancer
 
Back
Top Bottom