Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Endelea tu kuiheshimu mizimu yako, ndio wanaojua ukweli, wao ni roho na Mungu ni roho, hivyo wanaonana. Ndio watakaokufikisha kwa Mungu wa kweli.
 
Mimi nadhani mtifuano wa wale wanao amini uwepo wa munngu pamoja nawale wasio amini uwepo wamungu unayo nafuu kidogo...kuliko mtifuano wayale makundi2 yanayo amini uwepo wamungu kwamtazamo wakwamba sawa unaamini mungu yupo lakini huyo unae muabudu wewe niwauongo naunapotosha watuu😎
Nahapo ndipo huzuka mtifuano mkali baada yammoja kujua kumbe huyu nimnafiki afadhali yayule alie kataa wazi wazi.
 
Thread ya 2023 leo ni 2024 I hope ulishakufa kwa dhihaka yako
Kufa nitakufa tu hiyo ndio sifa ya kiumbe hai ila sio kwasababu ya kufikirika kama hiyo.

Mtu akimdhihaki Mungu hafi.

Mtu akimdhihaki Mungu na watu wa imani kali wakamsikia, huyo mtu anakuwa hatarini kuuawa.

Hao watu ndio wamekuwa watetezi wa Mungu kwasababu huyo Mungu hayupo zaidi ya stori.
 
Ndani ya vitabu vya Dini utampata mungu mwenye nguvu na uwezo wote.
Lakini nje ya vitabu vya Dini mungu hana uwezo wowote.
 
NI mjinga tu
Ni mjinga tu asiyeamini uwepo wa MUNGU
 
Ukiwachukua watu wasio amini Mungu kutoka popote pale duniani ukawaweka pamoja watakaa kwa amani sana kwa kutokuamini Mungu kwao

Lakini ukiwachukua Waamini Mungu Jehova ukawaweka na waamini Mungu Allah ukawaweka na waamini Mungu Yesu waishi pamoja...... yaani watakatana vichwa, watatemeana mate, watadharauliana, kiufupi ni kwamba hapata kalika kwa kuamini Mungu kwao
 
Watu wengi kwenye serikali ya CCM wanasema wanamuamini mungu lakini ni mafisadi na wala rushwa na wana sapoti ya hao viongozi wa dini

Ukioji tu utasikia wakisema tiini mamlaka mamlaka yenyewe ni hii ya vibaka na panya road wanaovaa suti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…