Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Ukiona sio jambo la msingi jiue, hakuna huzuni inayo dumu kijana.
Kujiua sio option kwasababu bado kuna watu wananitegemea mimi kama msaada kwasababu Mungu wakuwasaidia hayupo
 
nyinyi, yaani kila mnapo mjadili Mola, lazima mkosee sababu hamumjui.

Mola anampa mtu kile anachostahiki, na unaweza kuombwa hili ukapewa bora lililo zaidi na ukanyimwa lile ulilo omba. Unaweza kuombwa mali ukapewa afya njema.
Kwa hiyo Mungu wako anakuangushia tatizo halafu anakusikilizia umuombe akusaidie?

Jirani yako anauza maziwa bei kali sana ambayo wewe huwezi kumudu.

Akafanya hila akakuwekea sumu makusudi kwenye chakula chako bila wewe kujua, na wewe ukala baadaye ukaanza kuugulia maumivu ya tumbo.

Baadaye ukagundua kuwa kile chakula kina sumu.

Ghafla jirani yako anakuja na glass ya maziwa, anakuletea unakunywa unapona.

Baada ya hapo utamuona jirani mwema na ana upendo sana kwa kuokoa maisha yako.

Kakuletea maziwa ambayo usingeweza kuyanunua kwa gharama zako lakini yeye kakuletea bure.

Lakini je ni kweli kihalisia huyo jirani ana stahili sifa hizo za upendo?

Mtu huyu akijulikana atafungwa jela, hatapewa dhamana, ndugu wanaweza kumtenga, majina ya katili hayatatosha kumuelezea tabia yake, ataitwa shetani.

Lakini Mungu aliyeumba ulimwengu unaoruhusu maovu, akikuponya kidonda kilichotokana na tetemeko la ardhi lililoua ndugu zako wapendwa, Mungu huyu anaitwa mwenye upendo wote. Kwanini?

Huoni kama chochote unachoona umepewa na Mungu ni karata ya siasa tu ili uone anakujali wakati kihalisia amekupa dawa kwenye ugonjwa aliotengeneza yeye?
 
Sababu ziko nyingi miongoni mwazo ni kuwazindua waja wajue lengo la wao kuishi hapa duniani, kadhalika ni adhabu.
Wakati Mungu ana plan kuja na mbinu hii aliweza kujua out come yake itavyokuwa?

Kama Mungu alifanya hivyo ili kuwazindua watu wake, halafu kwenye maono yake ya future aliona bado hiyo peke yake haitatosha kufanya watu wafanye kile anachotaka, kwanini alipitisha wazo hilo?

Unataka kuniambia katika ujuzi wake wote hii ndio ilikuwa best plan kwake ya kufanya ulimwengu uwe bora?
 
Si kupotezwa muda sababu yeye ameelekeza ya kuwa na ukitaka msaada basi muombe yeye, na yeye anapenda kuombwa na ni mwepesi wa kujibu maombi ya waja.

Sasa vipi inakuwa kupoteza muda wakati watu wanajibiwa Dua zao kila uchwao ?
Kwanza kwanini atengeneze tatizo kwa mategemeo ya wewe umuombe ili akutatulie?
 
Nafkiri ungeanza kwanza kutaja shughuli yako ya maana inayokufanya ukae huku duniani, alafu nikujibu kinachomfanya MUNGU akae hko alipo.
Jibu lolote langu nitalotoa ukili swap kwenye maelezo ya Mungu bado ataonekana ni inferior.

Mfano nikijibu kuwa nina kazi.

Kwa jibu hilo na wewe ukasema naye Mungu ana kazi basi hapo lazima lioneshe errors kwa Mungu, Mungu akiwa na kazi maana yake kuna vitu havimtii, bila yeye kuonesha some effort maana yake vitafeli.

Au nikasema sina kazi.

Na wewe ukasema naye Mungu hana kazi. Maana yake Mungu ni kula kulala tu ambaye hana ambition yeyote yupo yupo tu kama zube.
 
Atawajibishwa na nani, au umoja wa MATAIFA ??
Kwani sheria inasemaje?

Si waliofanya wema wanaenda peponi na waliofanya uovu wataenda motoni?

Sasa kama kuna sehemu tunaona Mungu kafanya uovu kwa kuua mamilioni ya watoto wasio na hatia kwenye tetemeko huko Morocco unafikiri hastahili kuwajibika?
 
Kwa hiyo Mungu wako anakuangushia tatizo halafu anakusikilizia umuombe akusaidie?

Jirani yako anauza maziwa bei kali sana ambayo wewe huwezi kumudu.

Akafanya hila akakuwekea sumu makusudi kwenye chakula chako bila wewe kujua, na wewe ukala baadaye ukaanza kuugulia maumivu ya tumbo.

Baadaye akagundua kuwa kile chakula kina sumu.

Ghafla jirani yako anakuja na glass ya maziwa, anakuletea unakunywa unapona.

Baada ya hapo utamuona jirani mwema na ana upendo sana kwa kuokoa maisha yako.

Kakuletea maziwa ambayo usingeweza kuyanunua kwa gharama zako lakini yeye kakuletea bure.

Lakini je ni kweli kihalisia huyo jirani ana stahili sifa hizo za upendo?

Mtu huyu akijulikana atafungwa jela, hatapewa dhamana, ndugu wanaweza kumtenga, majina ya katili hayatatosha kumuelezea tabia yake, ataitwa shetani.

Lakini Mungu aliyeumba ulimwengu unaoruhusu maovu, akikuponya kidonda kilichotokana na tetemeko la ardhi, Mungu huyu anaitwa mwenye upendo wote. Kwanini?

Huoni kama chochote unachoona umepewa na Mungu ni karata ya siasa tu ili uone anakujali wakati kihalisia amekupa dawa kwenye ugonjwa aliotengeneza yeye?
Unajua Mkuu nilichogundua ndani ya akili yako tayari kuna CORE ngumu sana uliyokuwa nayo, kwa maana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa ambayo hayawezi kubadilishwa.

Kumuamini MUNGU ni IMANI ambayo mtu anayo (hofu) juu ya uwepo wa mola wake mlezi, wewe unachokitaka tukupe ushahidi uonekanao juu ya uwepo wake wakati huo sisi hatuna ACCESS hiyo.

Nafikiri hii vita kwako itakuwa rahisi Kushinda coz imani niliyonayo mimi wew hauna, kama ambavyo nilivyokuwa mimi imani yako mimi sina. Nafkiri access iliyobaki upate tu bahati ya KUFA, hapo kitakachofuata nafikiri utaamini moja kwa moja.

Lastly, tufanye hivi; imani tuifanye iwe namba 6. Mimi NAAMINI kwamba Mungu yupo, nitakaa nyuma ya 6. Wewe hauamini kama MUNGU ypo utakaa juu ya 6 utaiona 6 imekuwa 9.

Wote tupo sahihi yaani tupo kwenye namba 6, ila kutokana tuna imani tofauti ndo maana 6 inabilika kuwa 9 ila yote ni 6, tofaut ni standing position.
 
Jibu lolote langu nitalotoa ukili swap kwenye maelezo ya Mungu bado ataonekana ni inferior.

Mfano nikijibu kuwa nina kazi.

Kwa jibu hilo na wewe ukasema naye Mungu ana kazi basi hapo lazima lioneshe errors kwa Mungu, Mungu akiwa na kazi maana yake kuna vitu havimtii, bila yeye kuonesha some effort maana yake vitafeli.

Au nikasema sina kazi.

Na wewe ukasema naye Mungu hana kazi. Maana yake Mungu ni kula kulala tu ambaye hana ambition yeyote yupo yupo tu kama zube.
Well, basi sio vyema kujua huko mbingu ya7 kujua anafanya wakati hata wewe pia haujui duniani unafanya nini.
 
Umejibu swali Moja tu kati ya niliyokuuliza. Naomba na majibu ya mengine tafadhali.

Umetoa dalili za kuwepo Kwa mwenyezi mungu na umetumia Quran kama rejea. Kama Quran tutaitumia kama ushahidi lazima tuwe na uhakika ni kitabu kinachotoa ukweli. Lakini tukisoma Quran kuna vitu ambavyo ni wazi si vya kweli. Mifano hii hapa chini

1. Jua halizami kwenye matope

Quran-18:86: Till, when he (the traveler Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…
Quran- 18:90: Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.

2. Allah alikuwa anahisi dunia Iko flat kama carpet na milima ipo kuifanya dunia isitisikike (hii science aisee sidhani kama ni kiumbe kinachoelewa physical geography vizuri)

Quran-15:19: And the earth We have spread out (like a carpet); set thereon mountains firm and immovable;

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app

Umeandika mengi kuonyesha Kwamba Qur'an imekosea, kwa bahati mbaya badala ya ku disprove Qur'an umedhihirisha tu ujinga juu ya Qur'an (means huijui ila umekariri articles ukaona ndiyo ushajua Qur'an tayari)

Kwa mfano hapo juu unadai kwamba Qur'an inasema "Earth has been spread out like a carpet"

Ipo hivi, Kiswahili ni lugha ambayo imechukua baadhi ya maneno ya kiarabu, na miongoni mwa maneno hayo ni neno "Ardhi"

Sasa, kwenye hiyo Aya limetumika neno la kiarabu ARDHI" Kwamba ardhi imetandazwa kama carpet...

Sasa nikuulize, ardhi haijatandazwa kama carpet?!,

Kwenye English sometimes Ardhi inakua referred as to Earth (Dunia), na hiyo ndiyo iliyokupeleka chaka.... Lakini kwenye kiarabu "DUNIA" na "ARDHI" ni vitu viwili tofauti kama ilivyo kwenye kiswahili...

NB: Sidhani kama ikiwa kitabu ni cha uongo, itabidi utunge tena uongo dhidi yake,... Bali utatumia uongo ambao tayari umeugundua ku disprove kitabu hicho, so mpaka hapo usha prove failure
 
Well, chanzo cha wewe kuamini kwamba upendo, amani, ukweli na uaminifu vipo ni kipi..?
Hivi ni vitu ambavyo tunaweza ku perceive kwenye physical world. Amani ikiwepo huwezi kujua kwamba kuna amani? uaminifu ukivunjika huwezikujua kwamba simuamini huyu mtu tena?

Mkuu, Holly spirit sio kama haajui au haelewi lahasha, ila tayari ana matokeo yake na nafikiri amesoma kitabu kimoja (Bibble) lau kama angesoma vitabu vingine pia kama Torat, Zaburi, Injil, Qur'an ingemsaidia hata katika kupambanua hoja vizuri.
 
Unajua Mkuu nilichogundua ndani ya akili yako tayari kuna CORE ngumu sana uliyokuwa nayo, kwa maana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa ambayo hayawezi kubadilishwa.

Kumuamini MUNGU ni IMANI ambayo mtu anayo (hofu) juu ya uwepo wa mola wake mlezi, wewe unachokitaka tukupe ushahidi uonekanao juu ya uwepo wake wakati huo sisi hatuna ACCESS hiyo.

Nafikiri hii vita kwako itakuwa rahisi Kushinda coz imani niliyonayo mimi wew hauna, kama ambavyo nilivyokuwa mimi imani yako mimi sina. Nafkiri access iliyobaki upate tu bahati ya KUFA, hapo kitakachofuata nafikiri utaamini moja kwa moja.

Lastly, tufanye hivi; imani tuifanye iwe namba 6. Mimi NAAMINI kwamba Mungu yupo, nitakaa nyuma ya 6. Wewe hauamini kama MUNGU ypo utakaa juu ya 6 utaiona 6 imekuwa 9.

Wote tupo sahihi yaani tupo kwenye namba 6, ila kutokana tuna imani tofauti ndo maana 6 inabilika kuwa 9 ila yote ni 6, tofaut ni standing position.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Imagination just an illusion.
 
Hivi ni vitu ambavyo tunaweza ku perceive kwenye physical world. Amani ikiwepo huwezi kujua kwamba kuna amani? uaminifu ukivunjika huwezikujua kwamba simuamini huyu mtu tena?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Well, je mungu anapinga hyo misingi minne uliyoiamini ??

Na je bila ya kuwepo watu wenye hofu ya MUNGU hyo misingi itasimama, hivi hauoni kama sehemu zenye watu wamuaminio MUNGU ndo hiyo misingi minne inapatikana??
 
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Imagination just an illusion.
Suala la kutokuwa na uhakika linakujaje wakati uhakika wa uwepo wake tunao na upo wazi??

Anyway, mkuu kwani una amini kama utakuja KUFA??
 
Back
Top Bottom