Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kujiua sio option kwasababu bado kuna watu wananitegemea mimi kama msaada kwasababu Mungu wakuwasaidia hayupoUkiona sio jambo la msingi jiue, hakuna huzuni inayo dumu kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujiua sio option kwasababu bado kuna watu wananitegemea mimi kama msaada kwasababu Mungu wakuwasaidia hayupoUkiona sio jambo la msingi jiue, hakuna huzuni inayo dumu kijana.
Hapana siamini hata shetaniWell, twende side B ili tutumie formula ya attack from Beginning kujibu hoja yako.
Unaamini uwepo wa Lucifer na kazi zake ??
Kwa hiyo Mungu wako anakuangushia tatizo halafu anakusikilizia umuombe akusaidie?nyinyi, yaani kila mnapo mjadili Mola, lazima mkosee sababu hamumjui.
Mola anampa mtu kile anachostahiki, na unaweza kuombwa hili ukapewa bora lililo zaidi na ukanyimwa lile ulilo omba. Unaweza kuombwa mali ukapewa afya njema.
Yah nafkiri pia kuna kiunzi umekiruka, hongera coz nabishana na mtu mwenye IQ. Unajua kusimama kwelikweli kwenye kambi pinzani, worry out! Tutafika tu.
Wakati Mungu ana plan kuja na mbinu hii aliweza kujua out come yake itavyokuwa?Sababu ziko nyingi miongoni mwazo ni kuwazindua waja wajue lengo la wao kuishi hapa duniani, kadhalika ni adhabu.
Kwanza kwanini atengeneze tatizo kwa mategemeo ya wewe umuombe ili akutatulie?Si kupotezwa muda sababu yeye ameelekeza ya kuwa na ukitaka msaada basi muombe yeye, na yeye anapenda kuombwa na ni mwepesi wa kujibu maombi ya waja.
Sasa vipi inakuwa kupoteza muda wakati watu wanajibiwa Dua zao kila uchwao ?
Jibu lolote langu nitalotoa ukili swap kwenye maelezo ya Mungu bado ataonekana ni inferior.Nafkiri ungeanza kwanza kutaja shughuli yako ya maana inayokufanya ukae huku duniani, alafu nikujibu kinachomfanya MUNGU akae hko alipo.
Vitu mbalimbali ikiwemo upendo, amani, ukweli na uaminifuYah nafkiri pia kuna kiunzi umekiruka, hongera coz nabishana na mtu mwenye IQ. Unajua kusimama kwelikweli kwenye kambi pinzani, worry out! Tutafika tu.
Unaamini katika nini ??
Kwani sheria inasemaje?Atawajibishwa na nani, au umoja wa MATAIFA ??
Unajua Mkuu nilichogundua ndani ya akili yako tayari kuna CORE ngumu sana uliyokuwa nayo, kwa maana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa ambayo hayawezi kubadilishwa.Kwa hiyo Mungu wako anakuangushia tatizo halafu anakusikilizia umuombe akusaidie?
Jirani yako anauza maziwa bei kali sana ambayo wewe huwezi kumudu.
Akafanya hila akakuwekea sumu makusudi kwenye chakula chako bila wewe kujua, na wewe ukala baadaye ukaanza kuugulia maumivu ya tumbo.
Baadaye akagundua kuwa kile chakula kina sumu.
Ghafla jirani yako anakuja na glass ya maziwa, anakuletea unakunywa unapona.
Baada ya hapo utamuona jirani mwema na ana upendo sana kwa kuokoa maisha yako.
Kakuletea maziwa ambayo usingeweza kuyanunua kwa gharama zako lakini yeye kakuletea bure.
Lakini je ni kweli kihalisia huyo jirani ana stahili sifa hizo za upendo?
Mtu huyu akijulikana atafungwa jela, hatapewa dhamana, ndugu wanaweza kumtenga, majina ya katili hayatatosha kumuelezea tabia yake, ataitwa shetani.
Lakini Mungu aliyeumba ulimwengu unaoruhusu maovu, akikuponya kidonda kilichotokana na tetemeko la ardhi, Mungu huyu anaitwa mwenye upendo wote. Kwanini?
Huoni kama chochote unachoona umepewa na Mungu ni karata ya siasa tu ili uone anakujali wakati kihalisia amekupa dawa kwenye ugonjwa aliotengeneza yeye?
Well, basi sio vyema kujua huko mbingu ya7 kujua anafanya wakati hata wewe pia haujui duniani unafanya nini.Jibu lolote langu nitalotoa ukili swap kwenye maelezo ya Mungu bado ataonekana ni inferior.
Mfano nikijibu kuwa nina kazi.
Kwa jibu hilo na wewe ukasema naye Mungu ana kazi basi hapo lazima lioneshe errors kwa Mungu, Mungu akiwa na kazi maana yake kuna vitu havimtii, bila yeye kuonesha some effort maana yake vitafeli.
Au nikasema sina kazi.
Na wewe ukasema naye Mungu hana kazi. Maana yake Mungu ni kula kulala tu ambaye hana ambition yeyote yupo yupo tu kama zube.
Umejibu swali Moja tu kati ya niliyokuuliza. Naomba na majibu ya mengine tafadhali.
Umetoa dalili za kuwepo Kwa mwenyezi mungu na umetumia Quran kama rejea. Kama Quran tutaitumia kama ushahidi lazima tuwe na uhakika ni kitabu kinachotoa ukweli. Lakini tukisoma Quran kuna vitu ambavyo ni wazi si vya kweli. Mifano hii hapa chini
1. Jua halizami kwenye matope
Quran-18:86: Till, when he (the traveler Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…
Quran- 18:90: Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.
2. Allah alikuwa anahisi dunia Iko flat kama carpet na milima ipo kuifanya dunia isitisikike (hii science aisee sidhani kama ni kiumbe kinachoelewa physical geography vizuri)
Quran-15:19: And the earth We have spread out (like a carpet); set thereon mountains firm and immovable;
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Well, chanzo cha wewe kuamini kwamba upendo, amani, ukweli na uaminifu vipo ni kipi..?Vitu mbalimbali ikiwemo upendo, amani, ukweli na uaminifu
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hivi ni vitu ambavyo tunaweza ku perceive kwenye physical world. Amani ikiwepo huwezi kujua kwamba kuna amani? uaminifu ukivunjika huwezikujua kwamba simuamini huyu mtu tena?Well, chanzo cha wewe kuamini kwamba upendo, amani, ukweli na uaminifu vipo ni kipi..?
Kwani ni lazima kila kilichopo, Kiwepo?Utazungumziaje kisichowepo mkuu ??
Mkuu, Holly spirit sio kama haajui au haelewi lahasha, ila tayari ana matokeo yake na nafikiri amesoma kitabu kimoja (Bibble) lau kama angesoma vitabu vingine pia kama Torat, Zaburi, Injil, Qur'an ingemsaidia hata katika kupambanua hoja vizuri.Umeandika mengi kuonyesha Kwamba Qur'an imekosea, kwa bahati mbaya badala ya ku disprove Qur'an umedhihirisha tu ujinga juu ya Qur'an (means huijui ila umekariri articles ukaona ndiyo ushajua Qur'an tayari)
Kwa mfano hapo juu unadai kwamba Qur'an inasema "Earth has been spread out like a carpet"
Ipo hivi, Kiswahili ni lugha ambayo imechukua baadhi ya maneno ya kiarabu, na miongoni mwa maneno hayo ni neno "Ardhi"
Sasa, kwenye hiyo Aya limetumika neno la kiarabu ARDHI" Kwamba ardhi imetandazwa kama carpet...
Sasa nikuulize, ardhi haijatandazwa kama carpet?!,
Kwenye English sometimes Ardhi inakua referred as to Earth (Dunia), na hiyo ndiyo iliyokupeleka chaka.... Lakini kwenye kiarabu "DUNIA" na "ARDHI" ni vitu viwili tofauti kama ilivyo kwenye kiswahili...
NB: Sidhani kama ikiwa kitabu ni cha uongo, itabidi utunge tena uongo dhidi yake,... Bali utatumia uongo ambao tayari umeugundua ku disprove kitabu hicho, so mpaka hapo usha prove failure
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.Unajua Mkuu nilichogundua ndani ya akili yako tayari kuna CORE ngumu sana uliyokuwa nayo, kwa maana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa ambayo hayawezi kubadilishwa.
Kumuamini MUNGU ni IMANI ambayo mtu anayo (hofu) juu ya uwepo wa mola wake mlezi, wewe unachokitaka tukupe ushahidi uonekanao juu ya uwepo wake wakati huo sisi hatuna ACCESS hiyo.
Nafikiri hii vita kwako itakuwa rahisi Kushinda coz imani niliyonayo mimi wew hauna, kama ambavyo nilivyokuwa mimi imani yako mimi sina. Nafkiri access iliyobaki upate tu bahati ya KUFA, hapo kitakachofuata nafikiri utaamini moja kwa moja.
Lastly, tufanye hivi; imani tuifanye iwe namba 6. Mimi NAAMINI kwamba Mungu yupo, nitakaa nyuma ya 6. Wewe hauamini kama MUNGU ypo utakaa juu ya 6 utaiona 6 imekuwa 9.
Wote tupo sahihi yaani tupo kwenye namba 6, ila kutokana tuna imani tofauti ndo maana 6 inabilika kuwa 9 ila yote ni 6, tofaut ni standing position.
Well, je mungu anapinga hyo misingi minne uliyoiamini ??Hivi ni vitu ambavyo tunaweza ku perceive kwenye physical world. Amani ikiwepo huwezi kujua kwamba kuna amani? uaminifu ukivunjika huwezikujua kwamba simuamini huyu mtu tena?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Suala la kutokuwa na uhakika linakujaje wakati uhakika wa uwepo wake tunao na upo wazi??Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Imagination just an illusion.
Kwahiyo unataka kunithibitishia huu unao ongea ni uongo pia??Kwani ni lazima kila kilichopo, Kiwepo?
Hadithi za Abunuwasi ni ukweli ule?
Hata uongo upo pia.