holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Mimi nina ushahidi wa wanaokunywa maziwa na kuharisha na kuumwa tumbo Kwa bacterial infectionYes, Mammary glands zipo kwenye Cow's abdomen,... Pitia sources mbalimbali utaona hivyo.
Location between faeces and blood, Ni kama nilivyosema kwamba production ya milk inafanyika near the digestive system ya Cow, which means food inakua transformed into faeces, while some nutrients zinatumika kwenye production ya Milk. (So, it's obvious &clear kwamba mpaka digestion inakamilika damu na faeces zinakua zishatengana)... Hivyo specifically area between faeces and blood Ni hapo kwenye Digestive System.
Hao bacteria kama salmonella kupelekea kuharisha kwa binadamu binafsi sijawahi kuona,.. na sio kila kitu mpaka uambiwe au uishie kusoma unaweza uka prove mwenyewe... Watu wanakunywa na hakuna kuharisha wala kuumwa tumbo, na Mimi binafsi ni shahidi wa hilo.
Pia kuna watu ambao ni lactose intolerant maziwa yanawavuruga tumbo hata bacteria wasipokuwepo
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app