Kutongoza wake za watu

Kutongoza wake za watu

Hao wake za watu wenyewe sasa.
Screenshot_20221208_152556.jpg
 
Hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi ni mbaya inawatokea puani wengi ukimfanya vibaya mgoni wako akienda kushitaki unakura hasara taharifa zikifika kwenye mikono ya sheria,

Natoa angalizo kwa wale wenye wake kama mimi umkimfuma mkeo au mmeo ugoni usichukue sheria mkononi utajuta labda ukimbie we chakufanya samehe kama uwezi dai fidia bhasi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mungu atu saidie tuu haya Mambo haya
 
Ndugu zangu ama vijana wenzangu kuna hili suala la kutongoza mke wa mtu ambaye hujui wametoka wapi na mmewe nataka niwape kisa cha mshikaji ambaye alikatwa kisigino maeneo ya Kibaha pale Kwa matiasi kijiji cha Msangani pale pale center.

Kama ilivyo kwenye kijiji mtu akija akiwa mgeni lazima ajulikane, miaka Kumi nyuma kuna tukio ambalo nimeona nilisimulie hapa angalau tujifunze Jambo sote Kwa pamoja Kwa wale wanaopajua msangani, kuna jamaa alikuja na mkewe wakaishi pale baada ya kujenga kibanda Chao mkewe alikuwa binti mdogo Tu ambaye alimtoa huko uzaramuni basi kuna njemba hiyo ilikuwa kazi yake kutoka na wake za watu sasa bahati mbaya huyu binti wa mshikaji alikuwa hajui kusoma na kosa lilipoanzia siku moja mshikaji kamkuta binti akamtokea wakabadilishana namba za simu ikatokea mshikaji siku moja akamtumia sms Yule binti ya kuwa wakutane mahali Fulani Ile SMS Mme WA Yule binti si akaiona na bahati mbaya mke hajui kusoma ikabidi jamaa aanze kuchati na jamaa kuwa waonane kwenye mikorosho nafikili wale mnaopajua msangani kulikuwa na mikorosho Mingi Sana na ndio yalikuwa mashamba ya mikorosho mpaka karibu na kambi ya jeshi pale basi wakawa wanachati wakakubaliana wakutane saa 2 usiku.

Kweli Bwana Yule akajiandaa akijua Leo anaenda kumla mgeni sasa kilichotokea Yule mwenye mke akawa anaenda anachati naye mpaka Sehemu aliyokuwa mwizi wake akamtokea kwa nyuma na kumkamata nakumbuka alichoanza ni kukata kwenye maungio ya mguu kwenye mshipa damu iliruka Hilo eneo wananchi tunafika pale baada ya kelele tunakuta mtu ameshaktwa na panga lingine kichwani Yani pona pona ya jamaa ni kuokolewa na wananchi na kupelekwa hospt.

Ila mpaka sasa jamaa kilema kabisa hivyo kama unataka kutoka na mke wa mtu soma mazingira kwanza
mibususu ni nyingi sana na huu ni urithi wetu..tatizo mbususu hizi ni nyongo nyongo sana hazisemi ukweli na pete zinavua zi aficha...kwa kweli kidume ukikuta mbususu yako ipo na mtu ambaye una uhakika hajui mahusiano yenu achana na kidume deal na mbususu yako vinginevyo kama kidume una uhakika kinajua mahusiano yenu unadeal nao parallell au inaitwa huku na huku huku ukitoa kipaumbele kwa kidume.
 
Hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi ni mbaya inawatokea puani wengi ukimfanya vibaya mgoni wako akienda kushitaki unakura hasara taharifa zikifika kwenye mikono ya sheria,

Natoa angalizo kwa wale wenye wake kama mimi umkimfuma mkeo au mmeo ugoni usichukue sheria mkononi utajuta labda ukimbie we chakufanya samehe kama uwezi dai fidia bhasi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Waambie hao
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana hapo wameelewa tu , kwamba usicheat na mke asiyejua kusome ila ngoja wakamatwe wanatia huruma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom