Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ukinitangaza nakuuuua🤣Nitongoze baby😒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinitangaza nakuuuua🤣Nitongoze baby😒
Na wake waliowapigania wamewaacha wagongwe vizuriWenzako wamehukumiwa maisha
Rafiki habariNo signal
Nzuri rafiki...kwema lakini?Rafiki habari
Naam, miss you sanaNzuri rafiki...kwema lakini?
Siwez mfira mwanaume mwezangu namsepesha tu mwanmkeUkimfuma mtu ugoni....anatakiwa atombwe hasa ndio halafu arekodiwe
Tunapishana tuu majukwaaa yaaaniNaam, miss you sana
Sheria kwenye mke wa mtu? Jichanganye uone, watu wanadhuru..au hausikii matukio? Kama una tabia hizo, acha.Uja malizia story uyo alie juu ya sheria yuko wapi saivi
Watu wanakuharibu mzee...ni hatari hiyo tabia acha.[emoji23][emoji1] . Ingawa mwanamke mchepukaje sio suala la kupiga, Just damp her.Hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi ni mbaya inawatokea puani wengi ukimfanya vibaya mgoni wako akienda kushitaki unakura hasara taharifa zikifika kwenye mikono ya sheria,
Natoa angalizo kwa wale wenye wake kama mimi umkimfuma mkeo au mmeo ugoni usichukue sheria mkononi utajuta labda ukimbie we chakufanya samehe kama uwezi dai fidia bhasi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yaani hapo ni shida..tatizo mtu hata kama anaenda kufungwa je, wewe huku amekuachaje? Ni hatari asee....Na wake waliowapigania wamewaacha wagongwe vizuri
Nimeishi japoNdugu zangu ama vijana wenzangu kuna hili suala la kutongoza mke wa mtu ambaye hujui wametoka wapi na mmewe nataka niwape kisa cha mshikaji ambaye alikatwa kisigino maeneo ya Kibaha pale Kwa matiasi kijiji cha Msangani pale pale center.
Kama ilivyo kwenye kijiji mtu akija akiwa mgeni lazima ajulikane, miaka Kumi nyuma kuna tukio ambalo nimeona nilisimulie hapa angalau tujifunze Jambo sote Kwa pamoja Kwa wale wanaopajua msangani, kuna jamaa alikuja na mkewe wakaishi pale baada ya kujenga kibanda Chao mkewe alikuwa binti mdogo Tu ambaye alimtoa huko uzaramuni basi kuna njemba hiyo ilikuwa kazi yake kutoka na wake za watu sasa bahati mbaya huyu binti wa mshikaji alikuwa hajui kusoma na kosa lilipoanzia siku moja mshikaji kamkuta binti akamtokea wakabadilishana namba za simu ikatokea mshikaji siku moja akamtumia sms Yule binti ya kuwa wakutane mahali Fulani Ile SMS Mme WA Yule binti si akaiona na bahati mbaya mke hajui kusoma ikabidi jamaa aanze kuchati na jamaa kuwa waonane kwenye mikorosho nafikili wale mnaopajua msangani kulikuwa na mikorosho Mingi Sana na ndio yalikuwa mashamba ya mikorosho mpaka karibu na kambi ya jeshi pale basi wakawa wanachati wakakubaliana wakutane saa 2 usiku.
Kweli Bwana Yule akajiandaa akijua Leo anaenda kumla mgeni sasa kilichotokea Yule mwenye mke akawa anaenda anachati naye mpaka Sehemu aliyokuwa mwizi wake akamtokea kwa nyuma na kumkamata nakumbuka alichoanza ni kukata kwenye maungio ya mguu kwenye mshipa damu iliruka Hilo eneo wananchi tunafika pale baada ya kelele tunakuta mtu ameshaktwa na panga lingine kichwani Yani pona pona ya jamaa ni kuokolewa na wananchi na kupelekwa hospt.
Ila mpaka sasa jamaa kilema kabisa hivyo kama unataka kutoka na mke wa mtu soma mazingira kwanza
Mkuu tatizo sio anayekula bali wanawake ni dhaifu sana mkuu.inauma mi namchukua mke we unakuja kuleta tu pumbu ako 😂
mi naogopaga sana kuwatokea kumbe niwe nawajaribu tu eenh ?Mkuu tatizo sio anayekula bali wanawake ni dhaifu sana mkuu.
Usijaribu utapewa na utanogewa bablaimi naogopaga sana kuwatokea kumbe niwe nawajaribu tu eenh ?