Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Wakati taifa likiendelea kupambana na gonjwa hili hatari la Corona.
Ni takribani zaidi ya mwezi mmoja sasa sijapata kumuona wala kumsikia Mama Yetu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Namuona Waziri Mkuu na Waziri wa Afya tu.
Nilitegemea wkati Rais yuko mapumzikoni mpaka sasa Basi angalau yeye akiwa kama mfariji namba 2 wa taifa angekua anatueleza ama kusema lolote kuonesha kwamba tuko pamoja lakini imekua kinyume.
Ukimya wake unanipa maswali mengi.
Labda mimi sijui protokali za nchi.