JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,341
- 2,390
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusikia sauti au kuona sura ya mke wa mtu ili iweje?
Mkeo hakufariji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sema tunaotumia freebasics tunamiss vipicha picha tu. Ila kwingine unaflow tu.Mimi natumiaga freebase kuingia JF ningekuwa natumia app ningekutumia mkuu ili waliopo nayo wengine nadhani watakutumia
Yes huwezi kuweka mayai yote kwenye kapu mojaHahaaaa.....Best quote "WAMEJICHIMBIA SEHEMU TOFAUTI"
😀😀😀😀😀😀
Yule mtoto wamemtwisha mzigo mzito sn.......majuzi jacheka sn kwenye clip moja hivi nikaona anasiri nzito sn inamuumiza kuhusu hili swala hasa maagizo kutoka chatoMuulizeni "dada Corona" wamasai wakimanisha Ummi Mwalimu[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuiga nini?Oohooo.......sasa nimeelewa. Nyongeza ni kwamba nchi yetu haiwezi kuiga nchi zingine zinvyofanya.......
Wanafanya nini hao viongoziWanayofanya viongozi wa nchi zingine
Corona ipi imedhibitiwa wewe MATAGA??Corona inadhibitiwa na ofisi ya Waziri Mkuu
Bado haijafikia level ya Makamu wa Rais au Rais kuongea kila siku
Huo Ndio mgawanyo wa madaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnataka hawa watu waonelane ili iweje?Wakati taifa likiendelea kupambana na gonjwa hili hatari la Corona.
Ni takribani zaidi ya mwezi mmoja sasa sijapata kumuona wala kumsikia Mama Yetu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Namuona Waziri Mkuu na Waziri wa Afya tu.
Nilitegemea wkati Rais yuko mapumzikoni mpaka sasa Basi angalau yeye akiwa kama mfariji namba 2 wa taifa angekua anatueleza ama kusema lolote kuonesha kwamba tuko pamoja lakini imekua kinyume.
Ukimya wake unanipa maswali mengi.
Labda mimi sijui protokali za nchi.
Yaani inaonekana na wewe umemuamini uliyemquote, una akili sana mkuu.Ikiwa hivi inakua haijakaa vizuri
Mkuu, wengi wa hao walioongezeka bado hawana hata wiki 1, na ili mgonjwa apone anachukua wiki 2 hadi 3 hospitalini. Sasa hatuwezi kulaumu kwamba recovery rate ni ndogo kwa sasa, nadhani hadi wiki ya kwanza mwezi wa 5 ndio tutaona rate kubwa ya waliopona wakitangazwa.Corona ipi imedhibitiwa wewe MATAGA??
hivi hujui kwamba ndani ya wiki 2 tu tumeshuhudia maambukizi nchini kwetu yakiongezeka exponentially kutoka 25 hadi 254 (ongezeko la 916% au zaidi ya mara 10!!)??
hujui kwamba katika global perspective, Tanzania ni moja ya nchi zilizo na the worst recovery rate ya walioambukizwa?? in fact, tunazidiwa na nchi zote zinazotuzunguka, hata DRC wametuzidi!
hapa chini ni COVID-19 recovery rate hadi kufikia asubuhi ya leo kwa nchi zinazopakana na Tanzania:
Burundi 80%
Uganda 68%
Rwanda 54%
Zambia 54%
Kenya 24%
Mozambique 20%
Malawi 18%
DRC 10%
Tanzania 4% (katika kila walioambukizwa 100, ni 4 tu ndiyo wamepona)
So sad hii haiko njema kabisaaaCorona ipi imedhibitiwa wewe MATAGA??
hivi hujui kwamba ndani ya wiki 2 tu tumeshuhudia maambukizi nchini kwetu yakiongezeka exponentially kutoka 25 hadi 254 (ongezeko la 916% au zaidi ya mara 10!!)??
hujui kwamba katika global perspective, Tanzania ni moja ya nchi zilizo na the worst recovery rate ya walioambukizwa?? in fact, tunazidiwa na nchi zote zinazotuzunguka, hata DRC wametuzidi!
hapa chini ni COVID-19 recovery rate hadi kufikia asubuhi ya leo kwa nchi zinazopakana na Tanzania:
Burundi 80%
Uganda 68%
Rwanda 54%
Zambia 54%
Kenya 24%
Mozambique 20%
Malawi 18%
DRC 10%
Tanzania 4% (katika kila walioambukizwa 100, ni 4 tu ndiyo wamepona)
Kama dume limetimua mbio mpaka kijijini kwao kwa ajili ya hofu ya Covid19. Mama naye kajificha
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE😂🤣