Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Ukimya wake unanipa maswali mengi.....
Labda mimi sijui protokali za nchi.
Nchi ikiwa vitani majemedari wanaongoza nchi wakiwa wamejichimbia sehemu tofauti
Huu sio wakati wa kuuza sura,fuata maelekezo ya wataalam
 
Jile79, Mwenzake kakimbia halafu yeye ahangaike kivipi? Si anajiuliza kuwa kwa nini kiongozi wa nchi amekimbia? Ujue kukitokea janga lolote katika nchi Rais hata kama yuko kwenye mikutano nje ya nchi huwa anaacha mikutano na kurudi Mara moja kwa nia ya kupambana na janga kuongoza mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga, usipelekwe na hisia zako za kipuuzi kwani chato ni nje ya nchi au kwa akili yako inajua tanzania ni dar ea salaam tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamaa nimemuona mpuuzi sana kutukimbia hapa mjini na kwenda kujificha huko ndichi,saivi naskia anapatikana Twitter tu.
Si alisema hapendi mitandao na anatamani malaika waifunge......Ignorance kabisa
 
Nchi ikiwa vitani majemedari wanaongoza nchi wakiwa wamejichimbia sehemu tofauti
Huu sio wakati wa kuuza sura,fuata maelekezo ya wataalam
Hahaaaa.....Best quote "WAMEJICHIMBIA SEHEMU TOFAUTI"
😀😀😀😀😀😀
 
Mbona jana tu alitoa salamu za msiba wa Dr. Getrude Rwakatare au hukumsikia
 
Back
Top Bottom