Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Kama hakuna mikutano, mikusanyiko utamuonea wapi, zaidi ya ofisini? wasemaji wa janga hili si wapo?
 
Mwenzake kakimbia halafu yeye ahangaike kivipi? Si anajiuliza kuwa Kwa nini kiongozi wa nchi amekimbia? Ujue kukitokea janga lolote katika nchi rais hata Kama yuko kwenye mikutano nje ya nchi huwa anaacha mikutano na kurud Mara moja Kwa nia ya kupambana na janga kuongoza mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu nae labda ana survive huko aliko labda hamjui tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi sana, hakuna mikutano na mikusanyiko, hakuna press conference, hakuna matamasha, unataka umuone wapi akifoka?
 
Ni rahisi sana, hakuna mikutano na mikusanyiko, hakuna press conference, hakuna matamasha, unataka umuone wapi akifoka?
Sio lazima kufoka kumbuka yy ni mfaraji na2 wa taifa huku tukishuhudia Mkuu wa nchi yupo mapumziko na tupo kwenye janga kubwa sn la kidunia
 
Ila jamaa nimemuona mpuuzi sana kutukimbia hapa mjini na kwenda kujificha huko ndichi,saivi naskia anapatikana Twitter tu.
 
Wakati taifa likiendelea kupambana na gonjwa hili hatari la Corona.

Ni takribani zaidi ya mwezi mmoja sasa sijapata kumuona wala kumsikia Mama Yetu Makamu wa Rais Mama Samia Suluh Hassan.

Namuona Waziri Mkuu na Waziri wa Afya tu.
Nilitegemea wkati Rais yuko mapumzikoni mpaka sasa Basi angalau yeye akiwa kama mfariji namba 2 wa taifa angekua anatueleza ama kusema lolote kuonesha kwamba tuko pamoja lakini imekua kinyume.

Ukimya wake unanipa maswali mengi.....
Labda mimi sijui protokali za nchi.
Wakifanya mchezo wanaondoka, ndio maana wanajificha kila mmoja kwa mbinu zake! Unaleta mchezo na highly fatal infectious microbes unaondoka!
 
Back
Top Bottom