Eti anasupot kuona Rais amekimbia kwenda Kijijini, halioni hata hapa jirani kwao Rwanda, Uganda, Kenya kuwa wanaohangaika kila kukicha ni viongozi wa nchi ngazi ya mwisho Rais, makamu, na wazir wa Afya hata Kama hauoni kule Ulaya hata huku kwa Rafiki zake nako hauoni?Corona inadhibitiwa na ofisi ya Waziri Mkuu
Bado haijafikia level ya Makamu wa Rais au Rais kuongea kila siku
Huo Ndio mgawanyo wa madaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa hivi inakua haijakaa vizuriMwenzake kakimbia halafu yeye ahangaike kivipi? Si anajiuliza kuwa Kwa nini kiongozi wa nchi amekimbia? Ujue kukitokea janga lolote katika nchi rais hata Kama yuko kwenye mikutano nje ya nchi huwa anaacha mikutano na kurud Mara moja Kwa nia ya kupambana na janga kuongoza mapambano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningependa kuipata na mm.....lkn voice clip tu inatosha kwa yy km mfariji na2 wa taifa?
Hahaaa......ongea sauti ya chini jiwe asisikieyule mama sio mtu wa kuropoka hovyo ni mtu makini sana na anafanya zaidi kazi za kiserikali.
Mama samia hanaga mpango wa kukurupukia mambo.sio mtu wa madongo yule ndo kavaa vazi rasmi la urais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si anaongoza mapambano kutokea mapangoni kule Buswelu ama umesahau mzee na kwanini una muandama sana askari nambo moja wetu asee[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzake kakimbia halafu yeye ahangaike kivipi? Si anajiuliza kuwa Kwa nini kiongozi wa nchi amekimbia? Ujue kukitokea janga lolote katika nchi rais hata Kama yuko kwenye mikutano nje ya nchi huwa anaacha mikutano na kurud Mara moja Kwa nia ya kupambana na janga kuongoza mapambano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba yeye anapigana vita ya chinichini sioMkuu si anaongoza mapambano kutokea mapangoni kule Buswelu ama umesahau mzee na kwanini una muandama sana askari nambo moja wetu asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app