Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Ukimya wake unanipa maswali mengi.....
Labda mimi sijui protokali za nchi.
Nchi ikiwa vitani majemedari wanaongoza nchi wakiwa wamejichimbia sehemu tofauti
Huu sio wakati wa kuuza sura,fuata maelekezo ya wataalam
 
Mimi natumiaga freebase kuingia JF ningekuwa natumia app ningekutumia mkuu ili waliopo nayo wengine nadhani watakutumia

Hiyo voice clip NI ya tarehe ngapi?

isije kuwa ni ya mwezi wa January (mwezi wa kwanza)
 
Wewe ni mjinga, usipelekwe na hisia zako za kipuuzi kwani chato ni nje ya nchi au kwa akili yako inajua tanzania ni dar ea salaam tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamaa nimemuona mpuuzi sana kutukimbia hapa mjini na kwenda kujificha huko ndichi,saivi naskia anapatikana Twitter tu.
Si alisema hapendi mitandao na anatamani malaika waifunge......Ignorance kabisa
 
Nchi ikiwa vitani majemedari wanaongoza nchi wakiwa wamejichimbia sehemu tofauti
Huu sio wakati wa kuuza sura,fuata maelekezo ya wataalam
Hahaaaa.....Best quote "WAMEJICHIMBIA SEHEMU TOFAUTI"
😀😀😀😀😀😀
 
Mbona jana tu alitoa salamu za msiba wa Dr. Getrude Rwakatare au hukumsikia
 
Unataka kusikia sauti au kuona sura ya mke wa mtu ili iweje?
Mkeo hakufariji?
Hahahaa.....Mkuu mimi sijaoa alafu sizungumzii familia nazungumzia taifa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…