Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

Mimi natumiaga freebase kuingia JF ningekuwa natumia app ningekutumia mkuu ili waliopo nayo wengine nadhani watakutumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sema tunaotumia freebasics tunamiss vipicha picha tu. Ila kwingine unaflow tu.

Sent using myLG leon
 
Yes huwezi kuweka mayai yote kwenye kapu moja
Oohooo.......sasa nimeelewa. Nyongeza ni kwamba nchi yetu haiwezi kuiga nchi zingine zinvyofanya.......
 
Muulizeni "dada Corona" wamasai wakimanisha Ummi Mwalimu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mtoto wamemtwisha mzigo mzito sn.......majuzi jacheka sn kwenye clip moja hivi nikaona anasiri nzito sn inamuumiza kuhusu hili swala hasa maagizo kutoka chato
 
Corona inadhibitiwa na ofisi ya Waziri Mkuu

Bado haijafikia level ya Makamu wa Rais au Rais kuongea kila siku

Huo Ndio mgawanyo wa madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ipi imedhibitiwa wewe MATAGA??

hivi hujui kwamba ndani ya wiki 2 tu tumeshuhudia maambukizi nchini kwetu yakiongezeka exponentially kutoka 25 hadi 254 (ongezeko la 916% au zaidi ya mara 10!!)??

hujui kwamba katika global perspective, Tanzania ni moja ya nchi zilizo na the worst recovery rate ya walioambukizwa?? in fact, tunazidiwa na nchi zote zinazotuzunguka, hata DRC wametuzidi!

hapa chini ni COVID-19 recovery rate hadi kufikia asubuhi ya leo kwa nchi zinazopakana na Tanzania:

Burundi 80%
Uganda 68%
Rwanda 54%
Zambia 54%
Kenya 24%
Mozambique 20%
Malawi 18%
DRC 10%
Tanzania 4% (katika kila walioambukizwa 100, ni 4 tu ndiyo wamepona)
 
Hivi mnataka hawa watu waonelane ili iweje?
 
Mkuu, wengi wa hao walioongezeka bado hawana hata wiki 1, na ili mgonjwa apone anachukua wiki 2 hadi 3 hospitalini. Sasa hatuwezi kulaumu kwamba recovery rate ni ndogo kwa sasa, nadhani hadi wiki ya kwanza mwezi wa 5 ndio tutaona rate kubwa ya waliopona wakitangazwa.
 
So sad hii haiko njema kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…