Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Kuna Nchi isiyokopa Duniani kote!
Mbona juzi tu kule bungeni spika wa wanaCCM walikuwa wanamfokea Zitto kwamba anasababisha mkose misaada. Kwa nini mnalilia misaada toka kwa Mabwenyenye?
 
Wewe ni msaliti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM na wanaCCM kichwani sifuri kabisa. Jukwaani mnawaita mabeberu. Mkishuka tu jukwaani mnakwenda kuwalamba miguu hao hao mabeberu wabusti bajeti yenu. Na akitokea mtu yeyote kuongea na hao mnaowaita mabeberu mnahamaki eti anawakosanisha na mabeberu, ni msaliti, auawe, n.k. Kwani ninyi mnaogopa kukosana na mabeberu? Kwa nini mnapenda mabeberu wawasaidie bajeti? Si muachane kabisa na hao mabeberu?

CCM ni Corona ya Tanzania
 
Kwann msizijibu hoja zao na sio kuwafunga au kuwauwa huoni kama mnatoa majibu ya kuaminisha hoja zao kwamba ni kweli wanatuuwa na kweli wanatufunga,tofautisha serikali Na nchi hakuna aliyeisema vibaya nchi.Hicho chama cha uzalendo ndicho kimewafanya wakazungumze nje.Kama wameenda kuchafua mpande drimulaina mkasafishe shida nini hoja ujibiwa kwa hoja na sio risasi,kubambikwa kesi,nk
 
Kuihujumu nchi kwa nyanja za kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo na kijamii

Kuna wengine walisafiri hadi Marikani kuomba benki ya dunia inyime pesa Tanzania
Sisi dona country kwann tulilie misaada kumbe mabeberu ni oxygen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…