Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Jiwe lako lisilojitambua ndio linaharibu nchi linapiga watu na kuwaua halafu linataka wasilie,wasiseme huyo ndio msaliti wa nchi namba moja na tutamuwajibisha tu. Mwambie babaako jiwe hawezi kuwanyamazisha watu amewazuia kusema ndani ya nchi watasema wakiwa nje na kuikosoa au kuichafua serikali si kosa na serikali sio nchi magufuli na serikali yake sio tanzania endelea kubwabwaja wewe debe tupu.
 
Watu wa aina hii na watawala wa aina hii wanaojifanya wanauchungu na nchi ndo wapigaji wa kubwa wa rasilimali za nchi, wamejiwekea wigo wa kutokuhojiwa na wazalendo wa nchi hii ili wapige vizuri.
 
Nyie ndo wale wazalendo wa ukweli wa kusifia mashimo ya barabara na majengo yaliyopiga nyufa kwa ujenzi usiokuwa na kiwango.
 
Hata huko kwa Mabeberu mnaowashabikia wasaliti wa nchi hupokonywa uraia au kufungwa jela
Wewe inaonekana huelewi unachosema, ifutie uraia wananchi halali wa Tanzania ili waende nchi gani??? Ndiyo maana naona una shida kubwa kwenye ufikiri wako. Wakati mwingine kuna haja ya kuwa na ufikiri ulio sahihi....acheni ushabiki wa kisukuma
 
Kuihujumu nchi kwa nyanja za kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo na kijamii

Kuna wengine walisafiri hadi Marikani kuomba benki ya dunia inyime pesa Tanzania
Na aliyeihujumu nchi Lugola ni mwanachama wa chama gani? Waliopiga 1.5 trillion kwenye ripoti ya CAG ni kina nani? Afu Leo hii unaandika bank ya dunia imenyima mkopo? Pimbi kweli si mnajidai kila mradi tunaendesha kwa pesa zetu kama hao ni mabeberu unalialia nini xaxa kwao kisa wamekunyima mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huko kwa Mabeberu mnaowashabikia wasaliti wa nchi hupokonywa uraia au kufungwa jela
Naona unahitaji kueleweshwa...Wanaonyang'anywa uraia ni wale waliopata uraia wa kupewa (Naturalization) siyo wa kuzaliwa. Ukimtoa mtu Tanzania ambaye hana uraia wowote ule...UTAMPELEKA WAPI? Ndiyo maana naona kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako.
 
Mada yako tu imejaa usaliti wa nchi. Hivyo kwa kuanzia inabidi uanze wewe mleta mada kufutiwa uraia.
 
Naona unahitaji kueleweshwa...Wanaonyang'anywa uraia ni wale waliopata uraia wa kupewa (Naturalization) siyo wa kuzaliwa. Ukimtoa mtu Tanzania ambaye hana uraia wowote ule...UTAMPELEKA WAPI? Ndiyo maana naona kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako.
Huko sahihi kabisa mkuu. Mleta mada anaonekana hayuko sawa kichwani ana vinasaba vya utaira.
 
Back
Top Bottom