Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

Mchanya,
MZALENDO na UZALENDO ni Mtenda haki, msema haki na msimamizi wa haki, kuyumbishwa kwake ni mwiko..!!
 
Mzalendo ni yeyote asiyependa unafikiiiii...asemaye ukweli na aliye tayari kupigana kwa maslahi mapana ya jamii husika bila kuwaumiza wenginee. hafanyi kitu kimasihara masiharaaaa
 
uzalendo ni usnitch. ukiwa snitch lazma utakuwa mzalendo, japo sidhani kama ndio kusudio la neno lenyewe
 
Haiwezekani watu wanazurura duniani kuichafua Nchi yetu. Wamesoma kwa kodi za Watanzania
Wanaheshimika huko nje kwa siha njema ya Nchi yetu. Wakifika kule wanaanza kuitukana Nchi yetu

Hii Nchi yetu ipo kwa sababu kuna watu walijitolea maisha yao yote kuijenga hii Nchi
Kuna watu walimwaga damu.

Kuna watu walienda Uganda kuipigania Nchi wakarudi wamekatika miguu, wengine walirudi hawana mikono, wengine walirudi ni maiti.

Nchi hii ilikombolewa toka tukiwa tumboni mwa mama zetu

Anatokea mtu mmoja mropokaji, msaliti pengine hana hata dna na Tanzania yetu anaenda kwa Mabeberu kutukana Nchi yetu

Wanamtukana Rais wetu mpendwa Magufuli, Wanatukana Maendeleo anayotuletea
Wengine ni Wabunge wanaenda amerika kukutana na Mabeberu ati kuisema vibaya nchi yetu

Serkali watu kama hawa Kwanini mnawaacha huru? Kwanini wasihukumiwe kwa kusaliti wazee wetu waliopigania hii Nchi

Dawa ya usaliti hata huko kwa mabeberu inajulikana
Hao marikani haijawahi kucheka na msaliti wa Nchi adhabu yake inajulikana

China haijawahi kucheka na msaliti nenda popote msaliti wa Nchi zawadi yake inajulikana

Serkali acheni kuwachekea Wasaliti wa Nchi watatuharibia taifa letu

Kama kina kambona wenye heshima zao waliondolewa Uraia kwa manufaa ya Nchi Yetu mnaogopa nini kuwapokonya hawa wasio kuwa hata na historia ya ukombozi wa Nchi yetu!

Tumechoka kila siku Nchi yetu kutukanwa na wanasiasa wasaliti

Hatutaki tuwe kama Congo drc aliwachekea Wapinzani mwisho wake Wapinzani wakaiharibu Congo sasa ni machafuko kila siku huko Congo

Ni bora watu wawili au watatu waumie ili Watanzania milion 50 wawe salama

Tanzania tuna chama cha kizalendo kimoja tu ambacho ni Ccm na Tanu Hivi vyama vingine vimeletwa na Mabeberu kuja kuharibu Amani ya Nchi yetu

Naomba serkali ifutie uraia na kufunga wasaliti wa Nchi yote
Uingereza juzi imefutia uraia watu wengi kutokana na kusaliti Nchi yao

Serkali Kwanini inawaogopa hawa?
 
Rais wetu mpendwa Magufuli usicheke na wasaliti wa nchi, simama imara kama walivyosimama imara wazee wetu

Hii Nchi yetu ni muhimu kiliko mtu mmoja anaetukana Nchi yetu

Tumekukabidhi Nchi ili iwe salama

Angalia venuzuela ilivyofikia ni Kwasababu waliruhusu sana demokrasia
 
Ni Aibu Mtanzania amesomeshwa kwa kodi zetu anaenda kwa Mabeberu kutukana Nchi yake

Hatutakubali
 
Hapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Rais wetu mpendwa Magufuli usicheke na wasaliti wa nchi, simama imara kama walivyosimama imara wazee wetu

Hii Nchi yetu ni muhimu kiliko mtu mmoja anaetukana Nchi yetu

Tumekukabidhi Nchi ili iwe salama

Angalia venuzuela ilivyofikia ni Kwasababu waliruhusu sana demokrasia
 
Kwa uchochezi huu unaofanya hapa unastahili kushitakiwa na ikiwezekana adhabu yako iwe kifungo cha maisha kabisa...wachochezi kama wewe mnahatalisha amani ya Nchi mnataka tuishi kama mashetani kama walivyoishi zimbabwe?
 
Kiongozi umerejea kwa kasi kubwa sana kifitina! Ulipotea sana, tatizo lilikuwa nini,bando au kitendea kazi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali fikirishi je watu wasiojulikana huwa wanaenda likizo 'we listen to them and digest what are there up to' they have waken us up to think outside the box
 
Back
Top Bottom