Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Kwanza kabisa uzalendo ni nini?
Maana halisi ni ubaguzi dhidi ya wale wasio watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa uzalendo ni nini?
Maana halisi ni ubaguzi dhidi ya wale wasio watanzania.
Kwa maana hiyo sitaki uzalendo.
Kwa sababu mimi Mtanzania lakini siishi Tanzania, na huku ninakoishi wakiamua kuwa "Wazalendo" na kubagua wageni, sisi Watanzania tuishio nje tutasalimika?
Hizi nyimbo za uzalendo chini ya maccm ni ndoto za mchana. Ndo maana hata tra wameachana na mambo ya kukusanyia kodi hazina badala yake wanakusanyia kwenye matumbo yao. Walishtuka baada ya kuona kuna watu wakiona hazina imejaa wanachanganyikiwa na kuwa wehu.
Upo haswa kwenye uzalendo.Nini nafasi ya ukosoaji na uungaji mkono wa serikali katika dhana hizo hapo juu au hakuna uhusiano wa moja kwa moja?